Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
Hizi imagination za jf bana.... Kama kujenga nyumba angani!
Unanchekesha! ( faiza foxy).
Hivi hujui kuna watu wanafanya kweli hapa?
Hizi imagination za jf bana.... Kama kujenga nyumba angani!
Itabidi unisaidie kumbadili tabia thana umebobea kwa hili as i can see your ID
Unanchekesha! ( faiza foxy).
Hivi hujui kuna watu wanafanya kweli hapa?
Afu unaweza kunipa sababu tatu muhimu za kunichomesha mahindi jana? Fairway Holaaa! Chabes Holaaa! Hivi unanuionaje lakini?
Hv hukuniona kweli?
Au ulikuwa umelewa babu?
Ila yule mwanamke uliyekuwa unacheza nae Mmhh!!!,
Lile ni zao la Mchina au ndo alivyoletwa duniani.
Morning wangu?
Leo nataka tutoke mapema?
Unaweza kumkaribisha na babu Aspirin laki aje na mke wake!
Acha shobo mme wangu,
babu hataniwi yule usije lia bure na mimi baadae.
kweli kabisa unaweza kuta kaisha vaa na kaandaa umma na ndizi.
ruttashobolwa eti ukisikia nimefumaniwa utaniacha?
Maana nina wasiwasi na mtu mmoja humu Jf,ananiviziaga sana.
Mkuu yanakutoka rohoni haya?Nikisia umefumaniwa siwezi kukuacha!
Sitokuja kukuacha baby wangu kwa kusikia!
Mimi huwa na hitaji ushahidi kwanza kabla ya kufanya maamuzi.
Usijali kabisa mimi na wewe hatuendeshi mapenzi kwa kusikia!
Hivi unajua nakusubiri hapa NyamaChabiz?
Hebu njooni kwanza huku Billie's Pub Masaki, tunywe mvinyo kisha baadae ndipo niunde kamati yenu.
:biggrin1: mi nikifikiri pub zote masaki nazijua hiyo hapo umeniacha salenda kabisa
Mkuu yanakutoka rohoni haya?
Mkuu yanakutoka rohoni haya?
Bora umenisaidia kumuuliza.
Manake nyie wanaume hamsomeki.
Ahadi kibwena lakini mwisho wa cku,chalii!