Uamuzi wangu wanachit chat

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Baada ya Preta kuja home na kunionyesha uhodari wa kupika nimeazimia kumchukua jumla,
Kubwa zaidi amenionyesha utamu wa sauti yake hasa akiwa anaimba. Plz Madame B nakutegemea katika kuunda kamati KakaKiiza cacico mnahusika.
Ahsanteni
 
Last edited by a moderator:
Hebu njooni kwanza huku Billie's Pub Masaki, tunywe mvinyo kisha baadae ndipo niunde kamati yenu.
 
Hongera sana kama umefanya huamuzi huo wa kumchukua moja kwa moja!
 
he! Preta huyuhuyu ambaye amelala kwangu!mtumeee!! Preta unajifanya eti unawai home ding na mother wapo leo watakutafu kumbe unaenda ku.....!! Aise!
 
Last edited by a moderator:
Bado mimi tu vodka humu chitchat kumchukua reds awe wife kama akitokea demu mwenye jina hilo..
 
Mwaka huu lazima ukatwe kwa kusubiri wake za watu!

Afu unaweza kunipa sababu tatu muhimu za kunichomesha mahindi jana? Fairway Holaaa! Chabes Holaaa! Hivi unanuionaje lakini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom