Ukiona kobe kainama, ujue anatunga sheria. Ukiona swala la 'ndio au hapana' linachukua siku mbili kuamuliwa, ujue kunatafutwa upenyo!Maamuzi mpaka usiku wa leo mkuu jana ilishindikana
Nyie Bojo huyo Wambura wenu mchukueni mukampe cheo cha Malinzi kule kwenu Bukoba huku Msimbazi hana chake!!
Maamuzi ni keshoUkiona kobe kainama, ujue anatunga sheria. Ukiona swala la 'ndio au hapana' linachukua siku mbili kuamuliwa, ujue kunatafutwa upenyo!
Nasikia uamuzi umepitishwa kwa kupigiwa kura! Yanayopigiwa kura ni mambo yanayohusiana na maoni, kama kusema nani atashinda Kombe la Dunia mwaka huu. Mambo halisia (issues based on fact) hayaamuliwi kwa kupigiwa kura, kama kusema kesho ni lini. Right is right even if everybody else says it is wrong, and wrong is wrong even if everybody else says it is right (Ndio ni ndio tu hata kama kila mtu atasema siyo, na siyo ni siyo tu hata kama kila mtu atasema ndiyo). Kama kweli uamuzi aumepitishwa kwa njia hiyo, bila ya kujali nani kashinda, ni aibu kupita aibu!Maamuzi ni kesho
Source: Radio One.
Taratibu!!!!!
Kivipi Ulimakafu. TFF na wanachma wake 44 tuna Katiba zinazotuongoza.Katiba hizi ndizo zimezaa kanuni za chaguzi zetu.Kanuni za uchaguzi za wanachama wetu ziko wazi asiyeridhika na maamuzi ya kamati ya uchaguzi ya klabu/chama chake analeta rufaa yake TFF na kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ndio inasikiliza rufaa hizi. Huu ndio utaratibu ambao kwa mujibu wa taratibu zetu (structures) ambazo tumejiwekea tunaufuata. Sasa hapa kulindana kunatoka wapi wakati taratibu zimefuatwa to the latter?JM mshikaji wake kamlinda......
Kivipi Ulimakafu. TFF na wanachma wake 44 tuna Katiba zinazotuongoza.Katiba hizi ndizo zimezaa kanuni za chaguzi zetu.Kanuni za uchaguzi za wanachama wetu ziko wazi asiyeridhika na maamuzi ya kamati ya uchaguzi ya klabu/chama chake analeta rufaa yake TFF na kamati ya rufaa ya uchaguzi ya TFF ndio inasikiliza rufaa hizi. Huu ndio utaratibu ambao kwa mujibu wa taratibu zetu (structures) ambazo tumejiwekea tunaufuata. Sasa hapa kulindana kunatoka wapi wakati taratibu zimefuatwa to the latter?
Nasikia uamuzi umepitishwa kwa kupigiwa kura! Yanayopigiwa kura ni mambo yanayohusiana na maoni, kama kusema nani atashinda Kombe la Dunia mwaka huu. Mambo halisia (issues based on fact) hayaamuliwi kwa kupigiwa kura, kama kusema kesho ni lini. Right is right even if everybody else says it is wrong, and wrong is wrong even if everybody else says it is right (Ndio ni ndio tu hata kama kila mtu atasema siyo, na siyo ni siyo tu hata kama kila mtu atasema ndiyo). Kama kweli uamuzi aumepitishwa kwa njia hiyo, bila ya kujali nani kashinda, ni aibu kupita aibu!
jamal malinzi,
club za simba na yanga usipoteze muda wako kuzifuatilia,,,wenye akili tunajua ni nini wanachokifanya.
Muda mwingi naomba utumie kuwasaidia wale watoto wa u15 ili waweze kukua kimpira. Watakuja kutusaidia
kama wakikuzwa vizuri mkuu hawa simba na yanga ni wakupuuzwa tu.
Alistahili, hvi we uliona wapi eti mtu anashiriki shughuli zote za club alafu leo uje useme c mwanachama? Lilikuwa zengwe tu, malinzi kasimamia ukweli