Uamuzi wa Makonda hauna tofauti na wa Samatta, watajuta sana

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,999
Habari wana jamvi!??. Uamuzi wa Samatta kila mtu anaujua sihitaji kuuelezea kwa upana. Astoni Villa ipo kwenye hatari ya kushuka daraja, Samatta alicheza UEFA Champions League msimu uliopita lakini sasa anaenda kucheza Championship.

Makonda alikua mkuu wa mkoa wa Dar anaenda kuomba kugombea ubunge. Ubunge wa jimbo na mkuu wa mkoa nani mwenye nguvu kuliko mwingine? Anakumbuka alivyokuwa anatoa amri ya kuwaweka wabunge ndani? Sasa itakuwa zamu yake.

Kama Magufuli atasimamia kauli yake kwamba hajatuma mtu basi Makonda atajuta sana mana najua ndani ya CCM anavyochukuliwa.

Ni hayo tu.

UPDATES:
NDUGU MAKONDA KUANGUKIA PUA SASA ANASUBIRI REHEMA ZA RAIS TU WALA SI VINGINEVYO
 
Yaani unaamini kabisa, kajipeleka akagombee kigamboni? Na siku ukijua kaambiwa aende huko, aje kuwa waziri fulani utaweka sura yako wapi?

Samatta alijua aston villa inashuka? Alijua timu yake ya mwanzo ingecheza UEFA pindi anajiunga nayo?

Tofauti ya binadamu na malaika ni nini?
 
Kama kura zinapigwa jamii forum au Twitter hatapita lakini kama kura wanapiga wajumbe atapita. So jiandae kisaikolojia
 
Yaani unaamini kabisa, kajipeleka akagombee kigamboni? Na siku ukijiua kaambiwa aende huko, aje kuwa waziri fulani utaweka sura yako wapi?

Samatta alijua aston villa inashuka? Alijua timu yake ya mwanzo ingecheza UEFA pindi anajiunga nayo?

Tofauti ya binadamu na malaika ni nini?
Ndio maana nikasema kama Magu atasimamia alichosema Makonda hachomoki hata kwa ndumba
 
Kama kura zinapigwa jamii forum au Twitter hatapita lakini kama kura wanapiga wajumbe atapita. So jiandae kisaikolojia
Mkuu nimezungumzia uhalisia wa hali,yan kama kuna chini ya kapeti sijui. Na kama wapinzani wangekuwa wanayajua basi hakuna haja ya kushiriki uchaguzi.
 
Habari wana jamvi!??. Uamuzi wa Samatta kila mtu anaujua sihitaji kuuelezea kwa upana. Astoni Villa ipo kwenye hatari ya kushuka daraja, Samatta alicheza UEFA Champions League msimu uliopita lakini sasa anaenda kucheza Championship.

Makonda alikua mkuu wa mkoa wa Dar anaenda kuomba kugombea ubunge. Ubunge wa jimbo na mkuu wa mkoa nani mwenye nguvu kuliko mwingine? Anakumbuka alivyokuwa anatoa amri ya kuwaweka wabunge ndani? Sasa itakuwa zamu yake.

Kama Magufuli atasimamia kauli yake kwamba hajatuma mtu basi Makonda atajuta sana mana najua ndani ya CCM anavyochukuliwa.

Ni hayo tu.
Makonda ni exclusive ,hagusiki , ANKOLI hawezi kusema chochote kwa BASHITE.
 
Back
Top Bottom