Uamuzi uko mikononi mwako

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Wakuu poleni sana na uchaguzi. Naenda kwny hoja rafiki yangu kanifata jana usku aktaka ushauri ana mchumba wake ambaye si official kvile na huyo mchumba wake yuko mbali nae kwasasa ila wanawasliana vzuri tu. Sasa sku ya Ijumaa alimuomba mchumba wake huyo amtumie picha maana ktambo hajafanya hivyo mchumba akamwambia nitapiga kesho nikutumie.

Jamaa akamwambia poa sasa imefika kesho yake ya kutuma picha mchumba anamwambia sijapiga kwani simu imejaa mpaka nifute vitu, jamaa akamwambia unanikosea kwani nini kimeshindikana kufuta kama ulikuwa hutaki ungesema lakini ahadi za uongo hasa kwenye mambo madogo huwa sipendi. Eeh kumbe mchumba iyo kaul ikamkela akasema pcha tu ndo unasema ivyo je tukianza ishi pamoja.

Jamaa anasema akamwambia hapana sina nia mbaya nimekwambia tu usiwe unaniahid jambo halafu uslifanye, sasa walikua kwny dm zao whatsapp kila mtu alikuwa ameweka pcha ya mwenzake, jamaa anashangaa akiangalia dm ya mchumba ake hakuna pcha inayonekana.

Ikabidi amuulze mbona dm umetoa picha yangu kosa kukwambia usiwe unaniahidi halafu hutekelez au ndo umeamua kuniacha? Mchumba akamjbu we ukiamua tuachane poa uamuzi upo mikonon mwako. Jamaa akanambia akamjbu mchumba ake kwamba UKIONA MPENZI WAKO ANAKWAMBIA UAMUZI WA KUACHANA UPO MIKONONI MWAKO YAANI YE KAMA HANA CHA KUPOTEZA UJUE HUNA UMUHIMU KWAKE. Mchumba mtu hajajibu sasa ndo alinifata nimshauri mi nlichomwambia naye anyamaze kimya tena kama hajakalili namba za mchumba wake afute kwny simu yake namba na conversation ya sms zote na call log na akae kimya hata kama inauma avumilie kama ni wake atakuja tu.

Je, wadau nyie mnamshauri nini kamanda.?
Je, mimi nimekosea kumshauri hivyo?
 
Kama kweli umezaliwa 1985 na unaleta uzi wa namna hii humu basi jitathmin sana jinsi unavyoendesha maisha yako.
 
Matunda kama makomamanga,mananasi,machungwa n.k huwa yanaongeza vitamini c.. mwambie ale matunda kwa wingi ili kuongeza Kinga ya mwili! Hayo mambo mengine aachane nayo yameshamshinda.
 
Kama kweli umezaliwa 1985 na unaleta uzi wa namna hii humu basi jitathmin sana jinsi unavyoendesha maisha yako.
Mjanja uyo anayejua kuendesha maisha yake aahahahaha hongera sana mkuu uwe mwl wa wasiojua kuendesha maisha yao.
 
Kila la kheri mkuu

Tatizo la kutahiriwa na "GANZI" ndio hili......kwa hiyo picha ndio umeianzishia mada.........wewe na wewe ni vifuniko vya double kik...
 
Hahahah japo hujasema rafikio ni jinsia gani ila kama ni ME ningeshauri baada ya hayo atafute mpenzi katika eneo alilopo sasa.
 
Kila la kheri mkuu

Duh umemgugo kisawasawa...
 
Wakuu poleni sana na uchaguzi. Naenda kwny hoja rafiki yangu kanifata jana usku aktaka ushauri ana mchumba wake ambaye si official kvile na huyo mchumba wake yuko mbali nae kwasasa ila wanawasliana vzuri tu. Sasa sku ya Ijumaa alimuomba mchumba wake huyo amtumie picha maana ktambo hajafanya hivyo mchumba akamwambia nitapiga kesho nikutumie.

Jamaa akamwambia poa sasa imefika kesho yake ya kutuma picha mchumba anamwambia sijapiga kwani simu imejaa mpaka nifute vitu, jamaa akamwambia unanikosea kwani nini kimeshindikana kufuta kama ulikuwa hutaki ungesema lakini ahadi za uongo hasa kwenye mambo madogo huwa sipendi. Eeh kumbe mchumba iyo kaul ikamkela akasema pcha tu ndo unasema ivyo je tukianza ishi pamoja.

Jamaa anasema akamwambia hapana sina nia mbaya nimekwambia tu usiwe unaniahid jambo halafu uslifanye, sasa walikua kwny dm zao whatsapp kila mtu alikuwa ameweka pcha ya mwenzake, jamaa anashangaa akiangalia dm ya mchumba ake hakuna pcha inayonekana.

Ikabidi amuulze mbona dm umetoa picha yangu kosa kukwambia usiwe unaniahidi halafu hutekelez au ndo umeamua kuniacha? Mchumba akamjbu we ukiamua tuachane poa uamuzi upo mikonon mwako. Jamaa akanambia akamjbu mchumba ake kwamba UKIONA MPENZI WAKO ANAKWAMBIA UAMUZI WA KUACHANA UPO MIKONONI MWAKO YAANI YE KAMA HANA CHA KUPOTEZA UJUE HUNA UMUHIMU KWAKE. Mchumba mtu hajajibu sasa ndo alinifata nimshauri mi nlichomwambia naye anyamaze kimya tena kama hajakalili namba za mchumba wake afute kwny simu yake namba na conversation ya sms zote na call log na akae kimya hata kama inauma avumilie kama ni wake atakuja tu.

Je, wadau nyie mnamshauri nini kamanda.?
Je, mimi nimekosea kumshauri hivyo?
Wamejaaa viburi,hasira,hamna uvumilivu,na majigambo.Fahari 2 hawaishi zizi moja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom