Uamsho na Kauli Mbiu ya CHADEMA

Uamsho na Kauli Mbiu ya CHADEMA

Ni vyema kuwa makini na hizi propaganda kuna ukweli unaotaka kupindishwa hapo. Maana UAMSHO wanasema hawajachoma makanisa ila vijana wa chama fulani na wanaandaa orodha ya majina ili kuwasilisha polisi. Sasa Wtz tusipokuwa makini ukweli wote utapindishwa na mwisho wa siku ionekane ni vijana wa CDM walichoma makanisa. Huko ndiko tunakotaka kuaminishwa. Ni vizuri kuwa makini.
 
Unaanza kujishukushuku.
 
Hivi si walisema cdm ni cha wakristu,sasa mchangamano wa cdm na uamsho umeanza lini tena?
 
CHADEMA hizi ni nasaha njema kabisa kwenu, mkitaka zifateni msipotaka ziacheni.

1) Hakuna ataekataa kuwa CHADEMA kina kila shutuma ya kuwa ni wadini hawaupendi Uislaam, waichukuwe fursa hii ya kuungana mkono na Uamsho ili kufifirisha shutuma hizo.

2) Hoja ya kuvunjwa Muungano haizungumziki kisheria, kinachoweza kuzungumzwa ni Kuuboresha Muungano. CHADEMA watazungumza na nani kuhusu hilo kwa upande wa Zanzibar? njia rahisi na mbadala ni Uamsho.

3) Tundu Lissu, jana katika kumsikiliza ITV kabadili "chords" ghafla, Alianza kwa (C sharp) kusema hauzungumziki, alipokumbushwa na Juma (Mchangiaji aliyevaa koti la kijani kibichi) kuwa Muungano unazungumzika lakini sio kuuvunja Muungano. . Akakiri kuwa unazungumzika ( A flat) kuboreshwa lakini Jee, wale wasiyeutaka? Sasa ni nani asiyeutaka Muungano? turufu yake ni Uamsho kwa upande wa Zanzibar.
 
Jana nimemsikia vizuri Sheikh sijui nani wa kundi la Uamsho, amesema wao hawahusiki kwa namna yoyote ile na uchomaji wa makanisa, inawezekana ni vijana wa ccm ndo waliochoma makanisa ili ionekane kikundi cha Uamsho ndo wanaochoma makanisa.
Kwa vyovyote vile hawa jamaa wana jambo la msingi, na ni kosa serikali kutumia nguvu ya dola kuwa tuliza. ni vizuri wakakaa mezani wakayamaliza matatizo ya wanauamsho, kama ni kuvunja muungano hayaaa! kama ni kutatua kero za muungano hayaaa!!!
Sawasawaa!!!
 
Kwa jinsi mambo nilivyoyaona Uamsho hawana haki kabisa ya kuwa wanahoji muungano kama ni kundi la kidini na wamesajiliwa kama kundi la kidini.
Wakitaka wajisajili upya kama chama cha siasa na wafuate taratibu zote kwa mujibu wa sheria.

CCM ndiyo wa kulaumu katika hili swala zima maana wako kama wanajifanya hawaoni yanayotokea. Yuko Sheik mmoja kwenye mahojiano na Masako nadhani akiitwa Rashid, ambaye amethibitsha kuwa zipo CD tatu zilizoandaliwa zenye kuhusu mambo haya. Na ametoa taarifa kuwa zimesambazwa, serikali inazo copy, usalama wanazo na ziko mpaka nje ya nchi. Sasa iweje serikakli imekaa kimya hadi Makanisa yachomwe???

Hili linaogopesha maana CDM ikijiingiza kwenye hili kwa haraka haraka bila kuwa mamini wanaweza kugeuziwa kibao. Jambo hili linasura ya udini zaidi kuliko siasa.

Kiongozi wa Uamsho hata mimi nimemsikia akiahidi watashirikiana na Polisi kuwapata waliochoma makanisa, tunahitaji subira tuone hilo likitokea. Nina wasiwasi kama hilo litaweza kutokea bila kuwepo vitakavyofichwa na watakaotetewa na hao hao Uamsho kwani ninadhani wapo viongozi wa dini waliohusika kwenye uchochezi uliosababisha makanisa kuchomwa.

Kwa ajili hiyo CDM haitakiwi kabisa kujihusisha na Uamsho, wala si wakati muafaka kufanya ziara ya M4C huko visiwani.
 
HATA ZOMBE ALIKANA KUHUSIKA NA MAUAJI NA MAHAKAMA IKMWONA HAKUUA.
lakini hiyo haikuondoa ukweli.
kwani sheikh farid alikuwa anakusanya idadi ya wafuasi wake kila siku na kujua baada ya alichowalisha akili yao inaamua nini?
hata ukiona mzazi anamtetea mtoto wake kuwa si mwizi mwangakie mara mbili.
 
Matatizo ya wazanzibar yalianza miaka nenda rudi yaani pemba na unguja watanganyika tunajichanganya.

1. Uchomaji wa makanisa haujanza leo ni muda kidogo ulinza - UBAGUZI WA DINI wala haihitaji tochi kuiona hiyo.

2. Uchomaji wa mabaa umefanyika sana na wal si muda mrefu- UBAGUZI WA DINI wala haihitaji tochi kuiona hiyo

3. Maduka ya wacchaga na mabucha ya Ngruwe vimechomwa -UBAGUZI WA DINI NA WABARA haihitaji tochi kuiona hiyo.

4. Timu na klabu za michezo marufuku udhamini wa pombe - TAIFA LA KIDINI

Kama swala ni madai ya muugano KWA NINI 1, 2, 3 NA INNE VIHUSIKE HAPO JUU NAOMBA UFAFANUZI KWA YEYOTE.

Muungano hauhusiki na nguruwe, makanisa, udhamini wa pombe, maduka ya wabara na wabara kuhama zanzibar ila NI UBAGUZI WA DINI.

chadema ikijiingiza kwenye hiki kiini macho imejimaliza. Chambo cha mvuvi ni kwa samaki siye na akili sidhani kama CHADEMA wajinga kiasi hicho.

CHADEMA

Chama cha anachi wote wa dini na rangi zote na wasio na dini pia, viongozi wake ni mchanganyiko wa dini kuu mbili ndio maana hata professor Safari akatoka CAFU kaingia chadema.

Chama cha vijana na wazee na kukubalika sehemu kubwa ya tanzania

Chama pekee ambacho wanyonge wa inchi Waislam kwa wakristu wanatarajia kitawakomboa na lindi la umaskini katika nyanja zote

- Afya
- Elimu
- Haki (mahakana na sheria, sasahivi mahakama zipo kuhukumu wasionacho tu kama unakitu thubutu afungwe nani ni masikini tu.
- Technolojia
nk.

Kwa mtoa maada huwezi jiunga na wanauamusho ambao wao wanafanya siasa ndani ya kivuli cha kidini. Kama una macho na masikio basi improve your ratial reciprocating thinking capacity in analysing and adjustment for clear vision and focus.

Mbona tangu uhalifu uanze miaka ya hapo nyuma walikaa kimya.

Nani alichoma mabaa ccm eti au nani, kama ccm mbona huku tanganyika hawachomi?
Nani anachoma makanisa ccm pia lakini mbona huku tanganyika hawachomi????
Nani kanzuia ufadhili wa makampuni ya pombe huko zanzibar ccm au naka ndiwo mbona huku tanganyika hawazuii???
Nani anchoma biblia ccm au chadema huko zenji mbona huku Taganyika hawachomi??

TUACHE KUPOTOSHA UMA WA WATAZANIA (WAKRITU KWA WAISLAMU) KINACHOENDELEA ZANZIBAR NI UBAGUZI
1. WAKIDINI
2. KUWABAGUWA WATANGANYIKA

TAFAKALI CHUKUWA HATUA KUIKOA TANZANIA -- UKUBALI UKWELI KISHA CHUKUA HATUA KUREKEBESHA TULIPOJIWAA ILI TUISHI SOTE KWA AMANI WAPAGANI, WAISLAM NA WAKRISTU.

MWALIMU NYERERE ALIWEZA KUDHIBITI KWA SABABU HAKUWA MNAFIKI ALIONGEA UKWELI NA KUUSIMAMIA. SASAHIVI TUNAWANAFIKI WATUPU NCHI INAYUMBA.
 
1. Uchomaji wa Miskiti hujausikia?

2. Uchomaji wa mabaa, halafu waliochoma wanakaa na wao kunywa hizo pombe, hao ndio waislaam?

3. Tazama sheria, ni wapi na wapi mabucha ya nguruwe yanaruhusiwa/hayaruhusiwi kufunguliwa. Sheria hizo waliweka Waislaam?

4. Matangazo ya pombe na Sigara wacha kwa vilabu vya michezo, hata kwenye luninga tu wala mabango barabarani ni marufuku nchi nyingi duniani, ikiwemo UK, Canada, US. Nilitembelea Canada mwaka jana, Mkandara atanilinda kwa hili, nikakuta pombe hata supermarket haziuzwi, hakuna kabisa matangazo ya pombe, kama yapo sijayaona, kuna maduka hususan ya pombe na haruhusiwi mtoto asiyefikia umri uliowekwa kisheria kuingia humo. Sigara ndio, wacha matangazo hata zinapouzwa zinafungiwa kwenye makabati zisionekane, mpaka uulize (mimi mvutaji, tena mzuri tu) ndio maana nikalijuwa hilo. Usihusishe matangazo ya pombe na sigara na dini, labda uniambie US, Canada, UK na nchi nyingi za magharibi ni za KiIslaam?

1. Dini zinabaguana na si upande mmoja wala Zanzibar pekee. Ingekuwa hazibaguani, wewe usingekurupuka hapa kuleta huu udini. Kinacho matter ni kuvumiliana na kufundishana.

2. Watanganyika wangebaguliwa wangeshika mpaka Urais huko? Jumbe, Mwinyi umewasahau? sijui sheni ni wa asili ipi?

Kama una uhakika CHADEMA ndio wakombozi waanze kwa kuungana rasmi na wakombozi wa Zanzibar ie Uamsho, sio hivi sasa kisirisiri, ndio nasaha zangu.

Jana kwenye ITV, gwanda la Zanzibar limekiri kuwa linafatilia kwa karibu mihadhara ya Uamsho kila linapopata fursa na amekiri kuwa anahudhuria mikutano yao ya Uamsho na hajawahi kuwaona wakifanya fujo. Vipi hapo?

Vinginevyo sitokuelewa!
 
ZOMBA

1.Kuhusu pombe,Unasema pombe hata ulaya imezuiliwa ukitoa mfano uk. Nani mfadhili wa chmpion's leageue (henken beer) acha kupotosha watu na watu wadini zote wanshiriki kwenye klab bingwa ulaya zanziba hamtaki hat seregiti iwadhamini.

2. Hebu tuambie na tuelimike kwa tanzania yote Bara na visiwani imechomwa misikiti mingapi? (mmechoma makanisa 26)

3Mabucha ya nguruwe. kucma moto ndiyo huku yake, na anyepasa kusimamia ni mahaka au polisi kwa amri ya mahakama tuambie wanaochoma wamepata amri ya mahakama ipi na hakimu au jaji gani alito hukumu hiyo? (orodhosha lengo tuamini unacho kisema)

3. Dini zinabaguana je ni kwa kuchoma moto makanisa na mali watu, si hapa tanzania isipokuwa tanzania visiwani toa mifano inayoweza kubalika kwa ulinganifu wa makanisa 26 yaliyochomwa.

4. Tueleze umesikia huku tanganyika wapemba au waunguja wananyanyaswa, kubaguliwa au kufukuzwa? tupe mifano niwapi??

Kama ccm au chadema wanachoma makanisa huko mbona huku bara hawachomi?? tushawishi tukukubali kwamba sio ubaguzi wa dini.
 
chadema +uamsho=&@§*¤¿#=
§%*
 
1. Heineken inayotangazwa pale ni non alcoholic, hata Serengeti wanatangaza Zanzibar vinywaji vyao visivyo alcoholic.

2. Una uhakika upi kuwa imechomwa na Waislaam na si mbinu za kutaka simanzi na misaada? mimi hainiingii akilini, Waislaam haohao waruhusu Kanisa kuanzia la kwanza Afrika Mashariki lipo kati kai ya Waislaam lisichomwe yakachomwe haya ya juzi juzi. Kumbuka kuna mbinu za kutafuta fedha kupitia makanisa, ikiwa makanisa hayo hayo wachungaji wanashikwa kwa biashra za unga, hayohayo wanashikwa na vipande vya Albino, kuna uwezekano mkubwa kuwa haohao waliyoyaanzisha wanapatia fursa ya kujitafutia pesa za haraka kwa kutumia mbinu chafu.

3. Kesi ya nyani unaipeleka kwa ngedere? unategemea nini?
 
Mpaka kieleweke UAMSO na Chadema kumbe wanafanana.
 
Juzi nilileta mada yenye kichwa cha habari "M4C Zanzibar" nyuzi ilisema hivi:

Wengine wakanijibu bila kufikiri, kama hivi:

Leo kwa macho na masikio yangu kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku huu, nimemsikia Sheikh Farid wa Uamsho Zanzibar akiirudia kauli mbiu ya CHADEMA zaidi ya mara moja "mpaka kieleweke". Hakuna ataebisha kuwa huo ni msemo uliozoeleka katika uongozi na kila kada na mnazi wa CHADEMA.

Nawapongeza CHADEMA kwa kuwaamsha Uamsho kudai haki zao na ningependelea ushirikiano huo uzidi na kama Uamsho wanavyoiunga mkono CHADEMA katika harakati zao kwa kutumia kauli mbiu ya CHADEMA kwenye harakati zao ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuitumia fursa hii na kuungana na Uamsho Zanzibar wasaidiane katika M4C, inaonesha wazi kuwa Uamsho Zanzibar na CHADEMA wana uhusiano usio rasmi na yote ni katika kutafuta mabadiliko ya ukweli "Change".

Hongera CHADEMA, hongera Uamsho Zanzibar.

Nipe maana ya mpaka kieleweke.... na Nguvu ya umma..
 
Zomba

1. Misikiti mingapi imechomwa ukilinganisha na makanisa 26 yaliyochomwa zanziba hujatoa jibu. Zanziba peke yake

2. Je ? umesikia wapi huku tanganyika wapemba au wanguja wanabaguliwa au kufukuzwa au kuhalibiwa mali zao? zanzibar peke yake.

3. kama mnawakubali selengenti kwa vinywaji visivo na alkoho kwanini wasidhamini michezo na mambo mengine( Unataka kusema mwizi akiiba kwa jirani vema kula naye ila akiiba kwako hapana zambi) kama haramu ni haramu tu hatakama no alcoho anaye zalisha si najisi .)

Ukinielimisha mimi kuhusu utata wa huu ubaguzi wa wazanzibar, watanganyika wengi wataelimika na hivyo tukajisahihisha kwa sababu sote tutafahamu mapungufu yetu. ( upelelezi utafanywa na polisi na waliohusika tutawafahamu, orodha inayopelekwa na wanauamusho si kwamba ndo waliohusika mpaka imethibitika pasipo shaka. polisi wanaijuwa kazi yao kila siku uhalifu ulifanyika mbona wanauamsho hawakupeleka majina ya walifu kwa polisi nakututangazia?)
 
Juzi nilileta mada yenye kichwa cha habari "M4C Zanzibar" nyuzi ilisema hivi:

Wengine wakanijibu bila kufikiri, kama hivi:

Leo kwa macho na masikio yangu kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku huu, nimemsikia Sheikh Farid wa Uamsho Zanzibar akiirudia kauli mbiu ya CHADEMA zaidi ya mara moja "mpaka kieleweke". Hakuna ataebisha kuwa huo ni msemo uliozoeleka katika uongozi na kila kada na mnazi wa CHADEMA.

Nawapongeza CHADEMA kwa kuwaamsha Uamsho kudai haki zao na ningependelea ushirikiano huo uzidi na kama Uamsho wanavyoiunga mkono CHADEMA katika harakati zao kwa kutumia kauli mbiu ya CHADEMA kwenye harakati zao ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuitumia fursa hii na kuungana na Uamsho Zanzibar wasaidiane katika M4C, inaonesha wazi kuwa Uamsho Zanzibar na CHADEMA wana uhusiano usio rasmi na yote ni katika kutafuta mabadiliko ya ukweli "Change".

Hongera CHADEMA, hongera Uamsho Zanzibar.

Ndugu Kwanza naomba nikusahihishe. Msemo "mpaka kieleweke" sio kauli mbiu ya chadema. ni msemo wa kiswahili uliotumika miaka mingi kabla hata chadema hawajaanza harakati, na umekuwa ukitumiwa na watu ambao hawataki kukatishwa tamaa katika jambo wanalolifanya au wasiokubali kushindwa kwa dhuluma. Mifano ipo mingi Wanafunzi wa vyuo wanapodai maslahi yao, makonda na madereva wasipofikisha hesabu utawasikia wakisema mpaka kieleweke, wanaapolo wakitafuta mawe bila mafanikio utasikia mpaka kieleweke nk.
Mtu yeyote anayetumia lugha ya kiswahili aweza kutumia msemo huu kwa maana anayofikiri yeye itamtia moyo na kufikisha ujumbe kwa wahusika kuwa hawezi kukatishwa tamaa kirahisi.
Post yako imekosa mantiki kwa sababu unajaribu kuhusianisha makundi mawili ambayo hayana uhusiano huo kwa kuwa eti wametumia misemo ya kiswahili inayofanana. Hakuna hoja yeyote ya msingi umetoa ya kushawishi kuwa chadema wana jambo wanashirikiana na hawa wana uamsho. hata kama kuna maeneo ambayo sera zinaonekana kushabihiana lakini hili haliwafanyi kuwa na ushirikiano hata kidogo.
Naamini CHADEMA watafika zanzibar kuelimisha, lakini wataenda kama chama cha siasa km vile walivyo vyama vingine na si kwa gia ya uamsho.
-Kwanza ukumbuke Motive ya CDM ni kuelimisha watu haki zao, hawa uamsho ukisikiliza hotuba zao ni kujenga chuki dhidi ya watu fulani kwa kisingizio cha kuonewa
-Pili Chadema wanapingana na Ufisadi, Uamsho wanapingana na ukristo
-Tatu Chadema wanapigania katiba mpya ya nchi nzima, uamsho wanataka tu kuvunja muungano
Hawa huwezi kuwaweka meza moja hata siku moja
 
Iwe serikali 3 au Serikali 10 au hata 40 Tanzania bara inafaidika nini hasa kiuchumi kwa huu muungano?? Kanisa limekosa nini katika hoja Zao??
 
CHADEMA hizi ni nasaha njema kabisa kwenu, mkitaka zifateni msipotaka ziacheni.

1) Hakuna ataekataa kuwa CHADEMA kina kila shutuma ya kuwa ni wadini hawaupendi Uislaam, waichukuwe fursa hii ya kuungana mkono na Uamsho ili kufifirisha shutuma hizo.

2) Hoja ya kuvunjwa Muungano haizungumziki kisheria, kinachoweza kuzungumzwa ni Kuuboresha Muungano. CHADEMA watazungumza na nani kuhusu hilo kwa upande wa Zanzibar? njia rahisi na mbadala ni Uamsho.

3) Tundu Lissu, jana katika kumsikiliza ITV kabadili "chords" ghafla, Alianza kwa (C sharp) kusema hauzungumziki, alipokumbushwa na Juma (Mchangiaji aliyevaa koti la kijani kibichi) kuwa Muungano unazungumzika lakini sio kuuvunja Muungano. . Akakiri kuwa unazungumzika ( A flat) kuboreshwa lakini Jee, wale wasiyeutaka? Sasa ni nani asiyeutaka Muungano? turufu yake ni Uamsho kwa upande wa Zanzibar.
mimi binafsi siwashauri CHADEMA kuchukua ushauri huu kwani umekaa kimtego zaidi,kwa mtu mwenye akili timamu autazame kwa jicho la tatu,historia inaonesha CUF ilizushiwa kuleta mapanga ili wayatumie kuchinjia watu,pia Lyatonga kusingiziwa kuzaa na mama yule alievua nguo zote akaonesha wakwelima zake nyeti ili kumponza lyatonga kwani alikuwa moto kwelikweli,kwahayo machache inatosha kusema kuwa ushauri wako uko kiushushu zaidi acheni hizo,kwani hatuhitaji CHADEMA Ife kijinga hivi.POLE SANA.
 
Back
Top Bottom