Uaminifu!

Uaminifu!

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
9,296
Reaction score
7,713
Uaminifu au kuaminiana ni kitu muhimu katika mahusiano yoyote au hata kati ya wanaadamu.Bila kuaminiana hakutokuwa na muunganiko,mawasiliano mazuri.Ili kujenga uaminifu tena,usaliti/makosa inabidi yawekwe wazi.Mtenda anatakiwa akubali makosa yake na akiri jinsi gani alivyomuumiza mwenza wake.

Inasemekana kusamehe ni kitu cha kwanza ambacho kitasaidia kurudisha uhusiano ulobomoka.Kama uhusiano huo ulikuwa ni kati ya wanafamilia,mzazi na mwana inabidi pande zote wakubali au waafikiane kubadili tabia kadhaaa.

Mwanzoni kwa uhusiano wowote mpya,mazungumzo kuhusu maisha ya awali ya mwenza wako yanaweza kusaidia kujua weakness za mwenzako.
Nimeshafunguka kwa mtu kuhusu mimi binafsi,dhumuni la kufunguka kwangu lilikuwa anielewe kwanini mimi nipo jinsi nilivyo,lakini kwake yeye ilikuwa ni kama njia ya kusympathize na yeye,na kwake yeye nilikuwa DAMAGED!Niliketi nikajifikiria nimejiexpose kwa mtu ambaye hakutilia manani lolote nilomueleza,je kuna umuhimu wa mimi kufunguka mbeleni kwenye mahusiano yangu mengine?

Pale uaminifu unapovunjwa,ndivyo inavyokuwa vigumu kumuamini mtu mbeleni.Inasemekana uaminifu unaweza kurudi tena kutokana na positive experiences.Watu wengi sana hapa JF wamepitia maumivu tofauti,na wengi mno wanalalamika jinsi wasivyoweza kujenga uaminifu tena mimi ikiwemo moja wao.Kuna mtu yoyote ambaye ameumizwa na akaweza kujenga imani tena,tafadhali eleza tukio hilo nasi ili tujifunze kupitia kwako!

Nimejifunza si sawa kumuamini mtu 100%,ni hatari.Watu wanabadilika hata wale waaminifu.Hata kama huwezi kumuamini mtu,jifunze kuwasikitikia kuhusu tabia zao!

^^
Kuna dhana mbili mimi49 ulizoelezea hapo, UAMINIFU na KUSAMEHEANA
..
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% juu ya tafsiri yako ya uaminifu japo umei-attach sana na personality yako ya uaminifu na ukweli..
Hebu tujadili kidogo uaminifu ktk mtazamo wangu ambao naweza kusema ninajisikia mi ni mwaminifu ikiwa "..ni tayari kueleza mawazo yangu, namna ninavyojisikia na mipango yangu. Ninafanya hivyo bila kuficha, siepi kupambana na matatizo. Sijaribu kujionyesha ni mtu bora zaidi kuliko mwenzangu wala sijaribu kujivuna. Sijaribu kuficha makosa yangu wala kuyakuza niweze kuvuta huruma ya watu, nipo tayari kuheshimu hisia na mtazamo wa mwenzangu hasa pale tunapotofautiana na inaponilazimu kuziba ufa na mtu ili kuepusha kujenga ukuta mzima nipo tayari kufanya hivyo kwa upendo na nia njema maana natambua binadamu hatulingani.."
Kwangu mimi huo ni uaminifu kwa nafsi yangu na wenzangu
Tuanzie hapo kwanza kabla ya dhana ya kusameheana
^^
 
Last edited by a moderator:
IN GOD WE TRUST BUT IN HUMANS WE INVESTIGATE FURTHER! lol!

^^
But honesty is what remains after everything else needs no reviews
i.e being faithful to your conscience
^^
 
hii penine ndio miongoni mwa mijadala inayovuta hisia za watu wengi.
nionavyo mimi;
sisi kama wanadamu wenye utashi tunawajibika kuishi kwa imani na uaminifu kwa wale tunaoamua kushirkiana nao katika maisha yetu,wakiwa marafika au hata wapenzi udhaifu wa mtu mwingine usipunguze thamani ya utu wako,kwa mafono mtu kupoteza imani na mapenzi kwa vile tu kasilitiwa na mapenzi,hii si sahihi haijalishi imesababisha maumivu kiasi gani kwako.
maisha yetu sis yawe ni kama chuo cha kujifunza kutoka kwenye hali duni kwenda kwenye hali bora zaidi,lakini ukweli wa mambo kila siku tunajifunza kutoka kwenye hali bora kwenda kwenye hali duni.
kama mtu umesalitiwa na mwenzio litumie hilo tukio kama funzo la kukujenga na kukuimarisha kuwa binadamu bora zaidi.
dhana hii haipingani na ukweli kwamba usaliti na vingine vinavyofanana na hivyo vinauniza.
dhana ya kusamehe pia ni ya msingi ni ngumu kusamehe lakini ni bora na afya zaidi kuwa na moyo wa msamaha kuliko wa malipizi na visasi.
nimalizie kwa kusema hivi ubora,na uimara wa mtu unapimwa kwa kiwango cha uwezo wa mtu kuwa mwaminifu na mwenye moyo wa kusamehe haijalishi anapitia ugumu kiasi gani.
 
^^
Kuna dhana mbili mimi49 ulizoelezea hapo, UAMINIFU na KUSAMEHEANA
..
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% juu ya tafsiri yako ya uaminifu japo umei-attach sana na personality yako ya uaminifu na ukweli..
Hebu tujadili kidogo uaminifu ktk mtazamo wangu ambao naweza kusema ninajisikia mi ni mwaminifu ikiwa "..ni tayari kueleza mawazo yangu, namna ninavyojisikia na mipango yangu. Ninafanya hivyo bila kuficha, siepi kupambana na matatizo. Sijaribu kujionyesha ni mtu bora zaidi kuliko mwenzangu wala sijaribu kujivuna. Sijaribu kuficha makosa yangu wala kuyakuza niweze kuvuta huruma ya watu, nipo tayari kuheshimu hisia na mtazamo wa mwenzangu hasa pale tunapotofautiana na inaponilazimu kuziba ufa na mtu ili kuepusha kujenga ukuta mzima nipo tayari kufanya hivyo kwa upendo na nia njema maana natambua binadamu hatulingani.."
Kwangu mimi huo ni uaminifu kwa nafsi yangu na wenzangu
Tuanzie hapo kwanza kabla ya dhana ya kusameheana
^^

Ni kweli unapomuamini mtu maanake upo tayari kumueleza chochote bila kusita lakini iwapo mtu huyo huyo unaemuamini anapokuja kukugeuka na kukupa uongo SO CHEAP bila ya hata guilty concious utamueka fungu gani kiumbe huyo?Achilia mbali hivo,kukiri kosa lake hakubali na ana pride kwamba I GOT AWAY WITH THIS?Utajengaje moyo wa kumuamini yoyote tena?
 
Last edited by a moderator:
hii penine ndio miongoni mwa mijadala inayovuta hisia za watu wengi.
nionavyo mimi;
sisi kama wanadamu wenye utashi tunawajibika kuishi kwa imani na uaminifu kwa wale tunaoamua kushirkiana nao katika maisha yetu,wakiwa marafika au hata wapenzi udhaifu wa mtu mwingine usipunguze thamani ya utu wako,kwa mafono mtu kupoteza imani na mapenzi kwa vile tu kasilitiwa na mapenzi,hii si sahihi haijalishi imesababisha maumivu kiasi gani kwako.
maisha yetu sis yawe ni kama chuo cha kujifunza kutoka kwenye hali duni kwenda kwenye hali bora zaidi,lakini ukweli wa mambo kila siku tunajifunza kutoka kwenye hali bora kwenda kwenye hali duni.
kama mtu umesalitiwa na mwenzio litumie hilo tukio kama funzo la kukujenga na kukuimarisha kuwa binadamu bora zaidi.
dhana hii haipingani na ukweli kwamba usaliti na vingine vinavyofanana na hivyo vinauniza.
dhana ya kusamehe pia ni ya msingi ni ngumu kusamehe lakini ni bora na afya zaidi kuwa na moyo wa msamaha kuliko wa malipizi na visasi.
nimalizie kwa kusema hivi ubora,na uimara wa mtu unapimwa kwa kiwango cha uwezo wa mtu kuwa mwaminifu na mwenye moyo wa kusamehe haijalishi anapitia ugumu kiasi gani.

^^
Blessed nimependa ufafanuzi wako, naomba nidadisi ulipoishia, ..nini kifuate baada ya kusamehe..?
^^
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli unapomuamini mtu maanake upo tayari kumueleza chochote bila kusita lakini iwapo mtu huyo huyo unaemuamini anapokuja kukugeuka na kukupa uongo SO CHEAP bila ya hata guilty consious utamueka fungu gani kiumbe huyo?Achilia mbali hivo,kukiri kosa lake hakubali na ana pride kwamba I GOT AWAY WITH THIS?Utajengaje moyo wa kumuamini yoyote tena?

^^
Nachojua mimi, ni kuwa kila nafsi hushitakiwa na dhamira yake, tunatofautiana namna ya ku-handle guilty ambayo isipotazamwa vema inaweza kuleta stress!
Kuhusu suala la kuamini wengine, itakuwa ni ajabu kutompa haki ya mtu kumuamini anaestahili kuaminiwa kwa rely into past, tumeumbiwa kutojua yajayo!
Lakini kuna principle inayobebwa na wasomi wengi hasa wanapojeruhiwa kisiasa, kiuchumi, au kihisia inaitwa "CROCODILE APPROACH"
Ni ndefu sana, ila tu inahimiza mtu kutoamini yeyote au chochote hata macho yake.. Sasa hili ktk mahusiano linaweza kumfanya mtu akae benchi kwa kuwa tu aliadhibiwa kihisia na mtu ambae hakuwa majaliwa yake.
Be yourself and it is impossible to please everyone
^^
 
Hivi Himidini inapotokea unakua mwaminifu kwa mtu na unamweleza kila hatua unayopitia halafu haitilii maanani utajisikiaje ama kumchukuliaje?
Na mtu huyo huyo anakua hakuambii yanayomuhusu utalichukuliaje hilo?
^^
Kuna dhana mbili mimi49 ulizoelezea hapo, UAMINIFU na KUSAMEHEANA
..
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% juu ya tafsiri yako ya uaminifu japo umei-attach sana na personality yako ya uaminifu na ukweli..
Hebu tujadili kidogo uaminifu ktk mtazamo wangu ambao naweza kusema ninajisikia mi ni mwaminifu ikiwa "..ni tayari kueleza mawazo yangu, namna ninavyojisikia na mipango yangu. Ninafanya hivyo bila kuficha, siepi kupambana na matatizo. Sijaribu kujionyesha ni mtu bora zaidi kuliko mwenzangu wala sijaribu kujivuna. Sijaribu kuficha makosa yangu wala kuyakuza niweze kuvuta huruma ya watu, nipo tayari kuheshimu hisia na mtazamo wa mwenzangu hasa pale tunapotofautiana na inaponilazimu kuziba ufa na mtu ili kuepusha kujenga ukuta mzima nipo tayari kufanya hivyo kwa upendo na nia njema maana natambua binadamu hatulingani.."
Kwangu mimi huo ni uaminifu kwa nafsi yangu na wenzangu
Tuanzie hapo kwanza kabla ya dhana ya kusameheana
^^
 
Last edited by a moderator:
Wakumwamini ni "Binadamu aliyekufa tu" wengine ni kuvumiliana sio kuaminiana la sivyo ni presha tupu
 
^^
Blessed nimependa ufafanuzi wako, naomba nidadisi ulipoishia, ..nini kifuate baada ya kusamehe..?
^^
nashukuru Himidini!
inatokana na aina ya uhusiano uliopo na nafasi ya muomba msamaha!
kwa mfano kama ni wapenzi na kuna usaliti,na mkosaji akaomba msamha na kama yuko tayari kuendelea na uhisiano ni jambo la kuamua hapo pia.
kusamehe ni kuishinda nafsi(miongoni mwa mitihani migumu zaidi)
na kuweza kuishinda nafsi ya mwenzako(hapa na maanisha hivi kutokuangalia udhaifu na mapungufu ya mwenzio kuhakkiisha unauona uhodari na ukamilifu wake na siku moja kumfanya auone ukamilifu wake na auishi i.e kila mmoja ana ukamilifu ndani yake na anaweza kuuishi sasa msamaha unaweza kuchochea hali hiyo),sio nadharia inawezekana japo ni ngumu,tukiishi hivi maisha yetu yatabadilika ,n maisha hayatua ya majuto kamwe
 
Last edited by a moderator:
Wakumwamini ni "Binadamu aliyekufa tu" wengine ni kuvumiliana sio kuaminiana la sivyo ni presha tupu

Utakuaje kwenye uhusiano bila kumuamini mwenza wako?huo uhusiano utakuwa umejengwa kwa misingi gani?
 
Misingi hiyo hiyo ya kudanganyana, ndio njia pekee ya kujiepusha na stress za maisha ya kisasa haya. pamoja na ukweli kuwa kuishi maisha ya namna hiyo inapunguza ile ladha yote ya mahusiano ila ndio njia pekee ya kujiokoa. Dont expect anything and yet expect everything baasiiiii maisha yanasonga.
 
Hivi Himidini inapotokea unakua mwaminifu kwa mtu na unamweleza kila hatua unayopitia halafu haitilii maanani utajisikiaje ama kumchukuliaje?
Na mtu huyo huyo anakua hakuambii yanayomuhusu utalichukuliaje hilo?

^^
Hapo Jawilat nionavyo ni kuwa Uaminifu uko upande mmoja. Mawasiliano au kuhabarishana ni "to and fro process" kwa undani unaoumiza hakuna uaminifu hapo bali kujianika pasipo sababu
^^
 
Last edited by a moderator:
nashukuru Himidini!
inatokana na aina ya uhusiano uliopo na nafasi ya muomba msamaha!
kwa mfano kama ni wapenzi na kuna usaliti,na mkosaji akaomba msamha na kama yuko tayari kuendelea na uhisiano ni jambo la kuamua hapo pia.
kusamehe ni kuishinda nafsi(miongoni mwa mitihani migumu zaidi)
na kuweza kuishinda nafsi ya mwenzako(hapa na maanisha hivi kutokuangalia udhaifu na mapungufu ya mwenzio kuhakkiisha unauona uhodari na ukamilifu wake na siku moja kumfanya auone ukamilifu wake na auishi i.e kila mmoja ana ukamilifu ndani yake na anaweza kuuishi sasa msamaha unaweza kuchochea hali hiyo),sio nadharia inawezekana japo ni ngumu,tukiishi hivi maisha yetu yatabadilika ,n maisha hayatua ya majuto kamwe

^^
Nimekuelewa vema kabisa, kama hautachoshwa na udadisi wangu, Je kusamehewa kwa mwanamke kuna maana ipi ktk mahusiano?
^^
 
Misingi hiyo hiyo ya kudanganyana, ndio njia pekee ya kujiepusha na stress za maisha ya kisasa haya. pamoja na ukweli kuwa kuishi maisha ya namna hiyo inapunguza ile ladha yote ya mahusiano ila ndio njia pekee ya kujiokoa. Dont expect anything and yet expect everything baasiiiii maisha yanasonga.
Kutokana na jibu lako sishangai kwanini mahusiano mengi ya siku hizi hayadumu!
 
Back
Top Bottom