Uaminifu uliotukuka

ha ha ha ha hii inaitwa pata potea
 
Labda muwe na beef. Lakini kawaida tu hapo mshikaji wako wa job mbona anafanya hivyo au mi nafanya.

Huku kazini tunaachiana username na password na mtu una access mpka account za Mo Dewji, lakini mwana unampa anapiga kazi maisha yanaendelea.
 
Hapo kwenye MBAZU, ndanu ya ushoto osie[emoji3]
 
[emoji25][emoji26][emoji26] [emoji1751] poleee
 
Ushawahi kutana na swali unampenda vipi Mungu usiemwona huku unamchukia jirani yako unaemuona
Asemaye anampenda Mungu Hali jirani yake anamchukia huyo Ni mwongo Wala kweli haimo ndani yake.

Ila hapa nadhani swala Sio upendo Bali Ni uaminifu,yawezekana tunawapenda kwa asilimia zote lakini tunaweza tusiwaamini kwa kiwango hichohicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…