Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,596
- 65,046
- Thread starter
-
- #21
Inasikitisha sana.....kumuamini mtu ni kujikabidhi kwa chochote kitakachotokeaDuh kudadeki jamaa hapo anafikiria alishawahi kukosewa nini nahuyo jamaa akikumbuka2 imekula kwako
Kwa nini mkuuDon't trust any body
ha ha ha ha ha@Nyete
Ni ngumu sana kujua akiwazacho MTU Juu yakoKwa nini mkuu
ha ha ha ha lakini ukiangalia hiyo picha vizuri huyo mwingine amemuamini mwenzake kwa 100%
Pole sana mkuu ingawa stori yako inachekesha lakini pia inafundishaAchana na picha, tulipokua shule taa ya bwalo la chakula iliungua. Ikabidi niiwe kuibadilisha, tulikosa ngazi ila palikua na meza haina mguu mmoja.
Kuna jamaa akajitolea atashikilia hapo pasipokua na mguu, kikawekwa kiti juu ya meza nikapanda, nikamaliza kazi vizuri, taa ilipowaka jamaa si akaachia meza kwa kujisahau. Hadi leo chembe moyo haijakaa sawa kutokana na lile tukio, nilianguka mbazu za kifuani ndio zikawa egemeo.....
Kwa hiyo mkuu sasa hivi hakuna mtu unayemuamini?Kuna boya mmoja alinishkia juu ya ngazi afu yy yuko bize na simu anachati daaah si akajisahau nikaanguka nusu kuvunjka mkono
Yupi huyo mkuu?Mi hae !
Woman of my life
ha ha ha ha,ni kweli mkuu unaweza kuwa unazunguka zunguka usiku ukakutana na wasio kutakia memaNi ngumu sana kujua akiwazacho MTU Juu yako
Hatari sanaha ha ha ha,ni kweli mkuu unaweza kuwa unazunguka zunguka usiku ukakutana na wasio kutakia mema
Mi haeYupi huyo mkuu?
Vizuri mkuuMi hae
Her name means the most beautiful one , its a korean name
Kikulacho ki nguoni mwako na moyo wa mtu ni kiza kinene.. Mara nyingi watu wameumizwa na watu waliowaamini sana....!!!! I trust people with extent...!kwa nini mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyete Has gained your trust, huh???!!!!
Bob mambo yapo pouwa sana huku. Hatutaftani mkuu??Namuamini sana