hata kama kakokosea, kumkaripia mbela za watu ni mkudhalilisha! na nimuhimu sana kumuamini mpenzi wako kama kweli unampenda kwa dhati!
ndio iwe mbele za watu??mmmmmmh wengine vichwa vyetu @wenge ukinitibua nakupa nakoz za haja