Inamaana ukitoa laki tano kwenye joint account utafanya jitihada ya kuzirudisha pasi mwenza wako kujua au utakauka?
Lakini statment ya a/c itakuajee.....Inamaana ukitoa laki tano kwenye joint account utafanya jitihada ya kuzirudisha pasi mwenza wako kujua au utakauka?
Na upana wa uaminifu ni kuwa, unapokosekana inapelekea maendeleo kwenye ndoa kuchelewa. Usiwalaumu wanawake wanajenga nyumba bila kwaambia waume zao, wanakua wameshasoma alama za nyakati.uaminifu ni mpana mno na ni moja ya masomo ya utakatifu kwa wale wakristo...
Na upana wa uaminifu ni kuwa, unapokosekana inapelekea maendeleo kwenye ndoa kuchelewa. Usiwalaumu wanawake wanajenga nyumba bila kwaambia waume zao, wanakua wameshasoma alama za nyakati.
Ni kitu rahisi sana kuweka uaminifu, bila uaminifu hata leo nimetoka seminar cheque yangu ninatafuta mahali pa kuiweka, mwisho ndio unatafuta mchepuko wa kuueleza issue zako.Na wanaume wanaofanya mambo yao bila kuwaambia wanawake zao nao wanakuwa washazisoma alama za nyakati?
Ni kitu rahisi sana kuweka uaminifu, bila uaminifu hata leo nimetoka seminar cheque yangu ninatafuta mahali pa kuiweka, mwisho ndio unatafuta mchepuko wa kuueleza issue zako.
Kukiwa na uaminifu hata ukikuta laki tano imeondoka utajua labda anataka kunifanyia surprise, au alikua na shida atanieleza. Lakini kama umeanza kuhisi jamaa akipokea simu anatoka nje, mkiwa ndani simu iko kwenye lock. Mhh.Shemeji katoa laki tano nini bila kukuambia?
Ninadhani hali inabadilika mnapokuwa pamoja, au wengine wanaficha makucha wakati wa uchumba. Kama humwamini kwanini ulikubali kuolewa au kwanini ulimuoa?Uaminifu kamili ni mgumu aisee.
Binafsi naamini binadamu kiasili huwa tupo waongo waongo kulingana na mazingira.
Hivyo, kwa mtaji huo, sidhani kabisa kama uaminifu wa asilimia 100 upo.
Na hiyo ni kwa sababu uaminifu ni siri ya mtu moyoni.
Ninadhani hali inabadilika mnapokuwa pamoja, au wengine wanaficha makucha wakati wa uchumba. Kama humwamini kwanini ulikubali kuolewa au kwanini ulimuoa?
Kuna tabia ambazo huwezi kuzificha kwa muda mrefu kama kudanganya, mtu akiwa mwongo mwongo na ukimjua ni vyema kuanza tahadhari, kwasababu huwezi kujua anaficha mangapi. Pamoja na kuwa transparent sana nako kuna madhara yake.Ni rahisi sana kuuliza hilo swali la "Kama humwamini kwanini ulikubali kuolewa au kwanini ulimuoa?"
Lakini watu wengi huwa tunaishi kwa matumaini hususan ikija kwenye mambo tusiyoyajua.
Hayo matumaini ndo sababu kuu ya kwa nini watu huoana hata kama imani iliyopo baina yao si 100%
Kuna tabia ambazo huwezi kuzificha kwa muda mrefu kama kudanganya, mtu akiwa mwongo mwongo na ukimjua ni vyema kuanza tahadhari, kwasababu huwezi kujua anaficha mangapi. Pamoja na kuwa transparent sana nako kuna madhara yake.
(joint Account!!) Good idea mkuu.Kwa wale walioko kwenye ndoa, neno uaminifu ni silaha kubwa kwenye mahusiano. Uaminifu ninao uongelea hapa leo maana yake ni 100% kwa mwenza wako. Hii inamaanda kuwa wazi na kipato unachopata na jinsi ya kutumia.
Inashauriwa wanandoa kuwa na account tatu yaani kila mtu anakuwa na account ambayo mshahara au pesa za biashara inaingia kila mwezi. Baada ya hapo kunakuwa na joint account ambayo mnakubaliana kuwa kila mwezi wote wawili ni kiasia gani kitaingia. Hii inarahisisha mipango mikubwa ya maendeleo huko mbele, kama kununua kiwanja au gharama za elimu kwa watoto.
Kwenye hii joint account, inashauriwa kuwe na discipline ya kuchukua pesa. Kama uhusiano wenu unabaraka zote na mnaishi kwa amani, hata unapoona mume ametoa laki tano juzi kutoka kweny joint account, utafahamu ni za nini au alishakutaarifu. Sasa pale laki tano inapotoka kumsaidia mama wa mchepuko ndio hatari.