Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,792
Uaminifu wangu mimi unaanzia kwenye change, nikipata dada wa kazi ninaangalia uaminifu wake kwanza kama nikimtuma atarudisha change sahihi, nikitoka na wenzangu kama tunaorder chakula pamoja ni lazima nihakikishe aliyenipa hela yake anapata change inayostahili. Nikidhulumiwa change hata kama ni shilingi mia moja inavunja uaminifu wangu kwa yule mtu kabisa. Hili ni mimi tu au kuna wengine?