Uambatanishaji wa vyeti katika uombaji wa vyuo!!

pilipili1

New Member
Jan 30, 2017
2
0
Iv kunauwezekano wa kufanya application kwa kuambatanisha vyeti viwili ama vitatu vya form four?? Maana na mdogo wangu karudia mtihani mara tatu na hatimaye kapata alichokuwa anampango wa kupata ili akasome chuo(diploma/certificate)..... Ubaya had vile vyeti viambatanishwe ndo anaqualify kuwa na izo C(credit) zaid ya tatu.... Shida yangu n kutaka kujua kunauwezekano huo kuomba chuo kwa kutumia vyeti vyote vitatu?
 
Back
Top Bottom