Ualimu unahitaji moyo

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Mwanafunzi mmoja hajui kujumlisha wala kutoa,
Mwalimu katumia njia zote kumuelimisha lakin wapi.
Ikabid ajaribu njia hii
MWL :kwenu mnafuga nini?
MWNFZ :Kuku na mbuzi
MWL :Mbuzi mnao wangapi?
MWNFZ:25
MWL :mbuzi 25 toa 5 wanabaki wangapi?
MWNFZ:unawajua mbuzi wetu au unawasikia? Ukimtoa mbuzi mmoja wanatoka wote!
MWL : Tangu leo nahacha kazi

Chezea wanafunzi weyee .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…