Ualimu ni fani ngumu

Ualimu ni fani ngumu

Mh kuna tarifa nimezipata hivi punde duuuuuh zinanitishaaaaa
 
Huwezi amini lakini ndio ukweli wenyewe 'kwamba , hizi mashine za kichina za kamali zinafanya mishahara ya baadhi walimu isikutane.

Hasa hawa waliopatikana baada ya goli kupanuliwa.
 
Back
Top Bottom