Ualimu chekechea una tija?

ntita

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
513
285
wanajf

kuna ndugu amemaliza kidato cha nne na kupata pointi 35, anataka kusoma nursery school teaching, je kozi hii ina tija? na ni vyuo gani vinavyotoa kozi hii?
 
Back
Top Bottom