uagizaji wa magari online kwa anayefahamu

slab

Senior Member
Sep 12, 2013
119
27
Habari wana jf mimi npo mbeya nilikuwa nahitaj gari sasa hivi kuna usalama wowote endapo utatoe pesa yako kwa mtu usiyemjua wala kumuona pili lets say lmefika sasa may be dar port gharama ya kulitoa ni bei gan,tatu nakulpia tra inaweza ikawa bei gan cz jana nimepitia site moja ya japan nmelpenda prado moja hiv la dola eflu nne msaada wakuu
 
Back
Top Bottom