UAE; Kulindwa na Air-Defence za Israel

UAE; Kulindwa na Air-Defence za Israel

Tatizo watu kuelewa mambo mapicha picha ya kina Rambo Arnold nk. Yamefanya kusoma matukio hawawezi !!!

Mataifa mawili dhidi ya Taifa moja tu.

Bado Trump katafuta msaada!!
Israel maintains a "qualitative military edge" (QME) through superior air power, advanced intelligence, and sophisticated, multi-layered defense systems, while Iran focuses on asymmetric warfare and massive missile production to offset this technological gap...mhuhimu sana hapo kwa modern warfare ni "qualitative military edge"
 
Kwahyo Israel ina air defense bora zaidi kuliko USA ambae kambi zake zilipigwa.
Swali la kijinga kutokea!!

Na hapo hapo Israel mqkombora mengi yalishuka yakaharibu miji yao.
Mji gani uliharibiwa?

Tatizo kubwa hizi vita zina propaganda sana kuliko uhalisia wa mambo.
Kwa akili yako habari za Iran si
Tatizo watu kuelewa mambo mapicha picha ya kina Rambo Arnold nk. Yamefanya kusoma matukio hawawezi !!!

Mataifa mawili dhidi ya Taifa moja tu.

Bado Trump katafuta msaada!!
Wafuga midevu na majini aliyewaroga kafa!!
 
Kwahyo Israel ina air defense bora zaidi kuliko USA ambae kambi zake zilipigwa.

Na hapo hapo Israel mqkombora mengi yalishuka yakaharibu miji yao.

Tatizo kubwa hizi vita zina propaganda sana kuliko uhalisia wa mambo.

Naamini kama Iran angekuwa kabondwa yupo hoi Marekani na Israel wasingesimamisha vita.

Na hadi saa hizi pale Tehran kungekuwa na utawala mpya kabsa.Wala Hormuz asingekuwa anabembelezwa kuifungua.

Jamani tujifunze kutumia akili zetu sio zakukopa.

Mfano sisi Tanzania tuibonde Zambia kwelikweli halafu gari zetu za mizigo ziwe zinahitaji kupitisha mizigo kwenda nchi jirani.Je tutaibembeleza ifungue mpaka au tutapeleka kibabe maana tutakuwa tunaitawala.

Sasa kama USA na ISRAEL wameiacha hoi IRAN inawezekanaje aweze kuzuia meli yoyote ile kupita hadi yeye aamue.
Hivi vitoto vya elfu 2 haviwezi kukuelewa.... Wanachoweza ni kubinua makalio tu
 
Hawakuweza kujilinda wao wataweza kuwalinda UAE hahaha kweli vichaa ni wengi duniani
Unadhani bila mifumo hio ya Air defense pale TelAviv kungekua namaisha! Iran imemwaga makombora kama mvua pale lakin unaona leo maisha yanaendelea
 
Kwahyo Israel ina air defense bora zaidi kuliko USA ambae kambi zake zilipigwa.

Na hapo hapo Israel mqkombora mengi yalishuka yakaharibu miji yao.

Tatizo kubwa hizi vita zina propaganda sana kuliko uhalisia wa mambo.

Naamini kama Iran angekuwa kabondwa yupo hoi Marekani na Israel wasingesimamisha vita.

Na hadi saa hizi pale Tehran kungekuwa na utawala mpya kabsa.Wala Hormuz asingekuwa anabembelezwa kuifungua.

Jamani tujifunze kutumia akili zetu sio zakukopa.

Mfano sisi Tanzania tuibonde Zambia kwelikweli halafu gari zetu za mizigo ziwe zinahitaji kupitisha mizigo kwenda nchi jirani.Je tutaibembeleza ifungue mpaka au tutapeleka kibabe maana tutakuwa tunaitawala.

Sasa kama USA na ISRAEL wameiacha hoi IRAN inawezekanaje aweze kuzuia meli yoyote ile kupita hadi yeye aamue.
Common sense is not so common. Msamee tu shabiki wa ....
 
Habari hii najua haitawafurahisha Waarabu-koko wa BONYOKWA lakini ujweli ndiyo huu-
Kulingana na ripoti ya Axios, Israeli ilituma kikosi kamili cha Iron Dome pamoja na vifaa vyake na wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kwenda kuilinda nchi hiyo dhidi ya nashambulizi ya kigaidi ya iran, , kufuatia uratibu wa moja kwa moja kati ya Benjamin Netanyahu na Mohammed bin Zayed Al Nahyan.

Ripoti hiyo inasema mfumo huo ulizuia makombora mengi ya Iran huku UAE ikikabiliana na mamia ya makombora na maelfu ya ndege zisizo na rubani. Hii ni mara ya kwanza Israeli kutuma Iron Dome na vikosi vyake katika ardhi ya kigeni wakati wa mapigano na Iran.

ungenunua naww kulinda ndege wadogo wanaokula mpunga kwenu chunya !!
Lkn kwa technology ya Iranian utachekesha tu.
 
ISRAEL bila defense system (Iron dome, Davis"s Sling na Iron Beam) ingeshateketezwa. Iran ki usalama iko UCHI 100%
View attachment 3580311
Recent reports detail a massive covert operation where Israeli intelligence hacked nearly every traffic camera in Tehran to track and eventually assassinate Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei
Unatakiwa uwe yule ambae hujui chochote kuhusu IT Networking Infrastructure ili ukubali kuamini na kulimeza tango la eti Israel alihack CCTV za Tehran ili kumuua Atatollah
Huo ni uwongo ambao Israel ameubumba ili aonekane yeye ndio alifanikisha huo mpango, uwongo mtupu
Kila kitu kilifanywa na US kwa kutumia Satellite.
 
Picha inavutiaa sana kwenye msingi wake O + O wajinga wanadai kuwa kama sio iyo mifumo yao wangechapita zaidi mawazo ya aina hii ya kutupa🚮

Sababu kuu ingekuwa ni kweli wamezidiwa na wingi wa Makombora kutoka Iran kama propaganda zao tungepata picha tofaut naya sasa!!!!

Tumia akili zaidi
pale mwanzo Iranian anapoanza kurusha makombora yangezuiwa yote kitendo cha kuzuiya kingedumu japo weeks3 baada ya apo miji ya Israel ikitokea imepigika tungewaelewa pwent yao Waisrael wa Mbogo ✅️

Sasa kwajiamini Iranian kwanza anakwambia nitakutwanga muda huu lengo!!!

usije kusema kanishtukiza🚮 nilikuwa sijawasha mfumo 🚮

nataka Dunia ijue Technology ya Iranian na wanipe shikamoo zangu😜😜😜

Iranian anajua kukufelisha Kibiashara ukose pakujifichia😝😝😝

😝😝 ndiomana wanamchukia sana

nikama Iranian inaushtua ulimwengu kuwa mnauziwa michuma chuma japo ukija kusoma uwezo wake kwenye kitabu utalipa 💰💰💰 maB.
 
Attachments

  • IMG_20260427_142331_336.jpg
    IMG_20260427_142331_336.jpg
    61.1 KB · Views: 12
Wamedhidiwa ujuzi wa kiufundi na Iranian ndiomana wanatapatapa Kipropaganda we mtu anapigana naww yupo nyumbani kwake bado miji yko inawaka MOTO. Sio mchezo!!
Ndiyo mnavyodanganyana Wafuga Midevu na Majini?
 
Iran kamatieni hapo hapo mpaka kieleweke
Hormuz utoe kiasi ama ubebe meli zako zamakontena upite nazo angani huko
Bora dunia nzima tufe njaa ila iran ikamatie hapo hapo
 
Iran kamatieni hapo hapo mpaka kieleweke
Hormuz utoe kiasi ama ubebe meli zako zamakontena upite nazo angani huko
Bora dunia nzima tufe njaa ila iran ikamatie hapo hapo
Ujinga tu unakusumbua wewe.!!
Ni kweli Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz lakini Marekani wakamsaidia kuufunga kabisa kwa maana hiyo Iran hafanyi biashara yoyote ile na anayeumia sana ni yeye!!!

Nakusikitikia wewe Mmatumbi mwenzangu unapisema bora tufe ufe na nani mjinga wewe?

Kama unafikiri Marekani itapata shida hiyo sahau kabisa kwanza elewa Marekani ina akiba ya mafuta mengi sana na isitoshe onapata mafuta kutoka Venezuela na kutoka nchi zingine za kiarabu!!!

Lakini kwa ijinga wako imrkaririshwa kuwa Iran amefunga Hormuz na waliokukaritisha hawajakuambia kuwa kuna Total-Blockade ya marekani ambayo inazuia kila kitu na kakipiti kitu hapo bila idhini ya kiranja wa dunia Marekani.
 
Kwa hiyo wewe ni mtaalamu kupita maafisa wa kijeshi wa UAE ?

Maana wao wamechagua Iron-dome baada ya kuona kazi yake nzuri kupopoa makombola ya Iran!!
Acha uongo, iron dome inalinda tu short range missiles kma za hezbollah au Hamas ila Iran ikitumia hypersonic missiles kama Kheibar shekan haiwezi kuzuiwa na iron dome bali hutumika David's sling ambazo nazo hazikua successful.

Kwahiyo kama iron dome ndio imepelekwa UAE basi haiwezi kuzuia Hypersonic missiles za Iran.
 
Kama unafikiri Marekani itapata shida hiyo sahau kabisa kwanza elewa Marekani ina akiba ya mafuta mengi sana na isitoshe onapata mafuta kutoka Venezuela na kutoka nchi zingine za kiarabu!!!
Mshamba wewe, marekani ina viwanda vingi Asia kuliko vilivyopo USA ina maana mafuta yakikosekana China, Vietnam au Korea uchumi wa US unaporomoka.

Pia usipotoshe mafuta inayozalisha USA hayatoshi hata soko la ndani ina nakisi ya mafuta kwahiyo nayo inategemea kuagiza mafuta nje kwahiyo demand ikipanda nao wananunua mafuta kwa bei ya juu hata kama ni Venezuela au Russia!!

Pia US inaangiza kuliko inavyouza bidhaa maana yake net exports ni negative sasa bidhaa zikipanda bei China au India automatically zitapanda bei US maana itatokea imported inflation.

Tatizo una elimu ndogo alafu unapenda mijadala iliyo juu ya uwezo wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom