UAE; Kulindwa na Air-Defence za Israel

UAE; Kulindwa na Air-Defence za Israel

Mshamba wewe, marekani ina viwanda vingi Asia kuliko vilivyopo USA ina maana mafuta yakikosekana China, Vietnam au Korea uchumi wa US unaporomoka
Aliyekuambia US ina viwanda vichache nani?

Pia usipotoshe mafuta inayozalisha USA hayatoshi hata soko la ndani ina nakisi ya mafuta kwahiyo nayo inategemea kuagiza mafuta nje kwahiyo demand ikipanda nao wananunua mafuta kwa bei ya juu hata kama ni Venezuela au Russia!!
Waliobuni Total-Blockade si wajinga kama wewe walikaa wakafanya uoembuzi yakinifu wakaona inafanya kazi na ndiyo maana sasa hivi kaanza kutoa milio!!

Pia US inaangiza kuliko inavyouza bidhaa maana yake net exports ni negative sasa bidhaa zikipanda bei China au India automatically zitapanda bei US maana itatokea imported inflation.
Mambo kama haya mkishiba maharage ya jana unajifanya mjuaji kupita walioianzisha hiyo Operation ambao wanajua ikitokea hivi tutafanya hivi huu ujinga ujinga wako kesho na keshokutwa utakuja kula Matapishi yako!!!

Tatizo una elimu ndogo alafu unapenda mijadala iliyo juu ya uwezo wako.
Ama kweli nyani haoni Kundule una elimu gani wewe ya kujidai?

Uongo uongo unsowadanganya watu humu nawe unasema una Elimu?

Kipindi cha vita vya Gaza ulikuwa unawasifia Magaidi wa Hamas, Hezbollah na Houth ukawaaminisha watu kuwa Watashinda vita dhidi ya Israel matokeo yake sasa hivi hata unaona aibu kuongelea yanayotokea huko.

Kipindi hicho niliwahi kukuambia IDF wako ndani kabisa ya Lebanon-kusini kusini ulikataa katakata matokeo yake ulianza kulalanikia Operation Beeper iliyowaacha hoi magaidi uliokuwa unawasifia na kuwaramba makalio.

Safari hii tena baada ya Hezbollah kujiingiza kichwakichwa kwenye vita vya sasa kuwasaidia Mabwana zao wa Iran nilisema IDF wameshaingia ndani ya Lebanon-kusini wewe na viloka wenzako akina Adiosamigo mdogoee gallow bird na Mzee wa UHARO Ritz mlinikatalia sana!!!

Sasa hivi Hezbollah wabapigwa kama ngoma na wewe hapo inajifanya huyajui hayo!!

Sasa hivi magaidi unaowasifia wako ng'ambo ya mto litan na IDF sasa hivi inasafisha eneo la Buffer-zone.

Wewe na usomi wako Uchwara ulikuwa huyaoni hayo yote. Hspo sasa wewe una Elimu gani? Acha ujinga wadanganye wajinga wrnzako tu!!
 
Aliyekuambia US ina viwanda vichache nani?
US ina makampuni dunia nzima, kwahiyo kama ulidhani madhara ya bei za mafuta Asia au Afrika hayawezi athiri uchumi wa USA basi unajidanganya. UAE wawekezaji wengi wanatoka USA same to Saudi Arabia n.k ndio maana ukiambiwa USA imeingia hasara zaidi ya Tsh 60 Trillion imejumuisha mambo mengi sio silaha tu.
Waliobuni Total-Blockade si wajinga kama wewe walikaa wakafanya uoembuzi yakinifu wakaona inafanya kazi na ndiyo maana sasa hivi kaanza kutoa milio!!
Ni wajinga sababu Iran inapitisha supplies kupitia caspian sea kutokea Russia!! Na hata mafuta inayauza kupitia offshore oil reserves. Trump hajawahi kuwa na akili ndio maana nci imemshinda. Kama wangekua na akili basi wangeshaondoa utawala wa Ayatollah kama walivyoahidi siku ya kwanza.
 
Mambo kama haya mkishiba maharage ya jana unajifanya mjuaji kupita walioianzisha hiyo Operation ambao wanajua ikitokea hivi tutafanya hivi huu ujinga ujinga wako kesho na keshokutwa utakuja kula Matapishi yako!!!
Punguza makasiriko tunaenda na data net exports za US ni negative. Yaani wanauza vitu vichache nje kuliko wanavyouza na ndio maana deni la taifa la marekani ni zaidi ya 100% ya pato lake la taifa. Kifupi US ndio inaongoza kwa madeni duniani!!
34405.jpeg


Inaonekana una elimu ya kuunga unga sana, nenda kasome hata chat gpt sio unabisha bisha mambo usiyo na uelewa nayo.
 
Kipindi cha vita vya Gaza ulikuwa unawasifia Magaidi wa Hamas, Hezbollah na Houth ukawaaminisha watu kuwa Watashinda vita dhidi ya Israel matokeo yake sasa hivi hata unaona aibu kuongelea yanayotokea huko
Ndio Hamas bado ipo na ina control bado Gaza. Hezbollah bado ipo na ina control Lebanon same to Houthi ambayo bado inashikilia utawala wa nchi ya Yemen. Wewe usichoelewa kuuwa watu gaza au Lebanon kusini sio sawa na kuimaliza hezbollah na hamas. Kati ya wanajeshi 15k wa Hamas waliokufa hawafiki elfu 5 ila raia hasa watoto na wanawake ndio wamekufa zaidi ya elfu 70!!

Ni kama Iran tu wamekufa raia wengi kuliko wanajeshi ndio maana nchi haijaanguka. Tatizo una kichwa kigumu sana.
Safari hii tena baada ya Hezbollah kujiingiza kichwakichwa kwenye vita vya sasa kuwasaidia Mabwana zao wa Iran nilisema IDF wameshaingia ndani ya Lebanon-kusini wewe na viloka wenzako akina @Adiosamigo @mdogoee @gallow bird na Mzee wa UHARO @Ritz mlinikatalia sana!!!

Sasa hivi Hezbollah wabapigwa kama ngoma na wewe hapo inajifanya huyajui hayo!!

Sasa hivi magaidi unaowasifia wako ng'ambo ya mto litan na IDF sasa hivi inasafisha eneo la Buffer-zone.
Kwani nani kakwambia Hezbollah controlled area ni kusini? Hezbollah ipo nchi nzima na ipo intact ndio maana Israel ilijaribu kuvamia kwenye mzizi wa hezbollah kupitia Syria ila wakafeli.

Israel kills dozens in Lebanon after failed mission to find pilot’s remains

Kama inataka kuimaliza hezbolah iteke nchi nzima si wao ni taifa teule kinachowashinda nini? Kama ambavyo kuiteka Iran ni lazima waiteke nchi nzima!! Sasa kama wana jeuri waingize jeshi la ardhini kuchukua nchi nzima!!

Mnapenda sana ku overrate israel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom