Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Habari; natafuta location ya UAE exchange kama wana branch yao kwa hapa Dar es salaam, kama kuna yeyote ujuaye ilipo naomba msaada anijuze nahitaji kutuma hela kwa mtu yupo Dubai.
Aksante!!
Aksante!!