Ua hili ni Hatari......

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI??

This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous!

untitled.bmp

Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye ofisi na majumbani upo umewekwa kama ua.Ni sumu hasa kwa watoto,unaweza kumuua mtoto ndani ya dk 15 kama ameipeleka kinywani.Unatakiwa utolewe mara moja huko maofisini au majumbani.Uki ugusa usishike macho inaweza kukupa upofu.. Please mjulishe na mwingine.
 
Ni kweli naona lina hatari sana kuna mtoto alikula majani yake mate tu yalikuwa yanadondoka na ulimu kutoka nje..
Pia hata ukishika majani na kuyapitisha mwilini huwa yanakuwa kama yanawasha viel
 
du, sina hakika na hili. huu mmea upo nyumbani kwetu tangu tukiwa wadogo na leo hii tuna watoto na upo majumbani kwetu, na kwa jinsi wanangu walivyo sina hakika kama hawajawahi kuuweka mdomoni. mambo mengine ni vigumu sana kuamini.
 
mbona siuoni mazee? naona kuna ka x

umechangia JF?
unalipa bili ya internet kwa wakati?
una pc ya kileo au zile za msaada wa serikali?
hayo ni baadhi ya mambo yanayoweza kufanya usione picha .

tukirudi reverse kwenye mada. mimi nilizani huu mti ni mboga ya majani kumbe ni sumu? dah inasikitisha sana.inabidi tuhakikishe haubaki majumbani mwetu
 
Sina uhakika na hili. Nina wasi wasi ni uzushi. Mimi kwangu upo na kila siku nagombana na kuku wajirani yangu ambao wanauonea kwa kwenda mbele- yaani wanakula majani yake kichizi hasa wakati ule wa kiangazi. Kama una sumu mbona hawajafa hawa?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Ama manyowa mengine ya kwenye daraja??
 
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI??

This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous!

untitled.bmp

Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye ofisi na majumbani upo umewekwa kama ua.Ni sumu hasa kwa watoto,unaweza kumuua mtoto ndani ya dk 15 kama ameipeleka kinywani.Unatakiwa utolewe mara moja huko maofisini au majumbani.Uki ugusa usishike macho inaweza kukupa upofu.. Please mjulishe na mwingine.

sina uhakika kama unaua ila najua ukitafuna au ukilamba maji maji yake utawashwa sana.
 
Labda niombe aliye anzisha hii mada atwambie ametoa wapi hii maneno, was it scientifically researched to come to conclusion kwamba unaua?
 
Mkitaka kuhakikisha jaribuni kula? wabongo tunaelekezwa lakini vichwa ngumu.
 
TUSKER BARIDI NYATI NA BON........! Nnaombeni mkubali hili, kwanza tumshukuru TET A TETE....!
NI MMEA HATARI SANA TENA SANA......JAPO SI VYEMA NITAWATUMIA NAMBA YA SIMU YA MAMA MMOJA HUKO YOMBO DOVYA AMBAYE MJUKUU WAKE ALICHUMA JANI LA MMEA HUO NA KUULA, MTOTO YULE ALIPATA MAJERAHA KWENYE ULIMI NA MDOMONI HATA KUPELEKEA KUSHINDWA KULA KWA MUDA MREFU. HII N HABARI YA KWELI NA WAZAZI NA WALEZI TARAJALI INAPASWA WAUJUE KWA TAHADHARI ZAIDI....!
 
huu hapa, hujambo lakini

untitled.bmp

Sijambo kabisa mzima weye lakini?

umechangia JF?
unalipa bili ya internet kwa wakati?
una pc ya kileo au zile za msaada wa serikali?
hayo ni baadhi ya mambo yanayoweza kufanya usione picha .

tukirudi reverse kwenye mada. mimi nilizani huu mti ni mboga ya majani kumbe ni sumu? dah inasikitisha sana.inabidi tuhakikishe haubaki majumbani mwetu

Ha ha ha no P maswali yote jibu ni ndio.
 
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI??

This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous!

untitled.bmp

Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye ofisi na majumbani upo umewekwa kama ua.Ni sumu hasa kwa watoto,unaweza kumuua mtoto ndani ya dk 15 kama ameipeleka kinywani.Unatakiwa utolewe mara moja huko maofisini au majumbani.Uki ugusa usishike macho inaweza kukupa upofu.. Please mjulishe na mwingine.

Mimi niliipata taarifa hii April Fool!!! Wewe je?
 
NIMEPEWA HII TAARIFA...SIJUI NI KWELI??

This plant that we have in our homes and offices is extremely dangerous!

untitled.bmp

Mmea huu unapatikana kwa wingi nchini Cameroon hata hapa kwetu u\,kwenye ofisi na majumbani upo umewekwa kama ua.Ni sumu hasa kwa watoto,unaweza kumuua mtoto ndani ya dk 15 kama ameipeleka kinywani.Unatakiwa utolewe mara moja huko maofisini au majumbani.Uki ugusa usishike macho inaweza kukupa upofu.. Please mjulishe na mwingine.

what is english name,botanical name of this plants my fellow jf members?
 
hii ina ukweli ///waunngwana mpo apo?
kule kwetu Machame kusingekua na mtoto
ntaicheki kwa wataalam wangu:confused3:
 
Labda niombe aliye anzisha hii mada atwambie ametoa wapi hii maneno, was it scientifically researched to come to conclusion kwamba unaua?

it is your time to do a research and make a conclusion...very simple
 
Back
Top Bottom