Ua hili ni Hatari......

Jamani mti huo unaitwa Dieffenbachia na ni kweli utomvu wa majani yake unawasha sana. Siku moja nilikuwa naukata majani kwa kisu kuupunguzia na ule utomvu ulinirukia kwenye mikono na miguu kwa kweli niliruka ruka na kucheza ngoma ya "Kimasai". Baadae nilisoma taarifa yake ndio nikajua kwamba una sumu.

Vile vile mutahadhari na mti unaitwa Datura una maua mazuri yamefanana na matarumbeta lakini ni sumu sana.
 
Back
Top Bottom