U18 Lulu na gari

U18 Lulu na gari

Endangered

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
922
Reaction score
231
Wadau habari za muda?
Poleni na majukumu.

Hivi, nilikuwa napitia news nikaja spot kwamba Lulu ana umri wa miaka 17, na si 18 kama ambavyo imekuwa ikidhaniwa.
Sasa, wakati anaondoka maeneo ya Sinza taarifa ni kwamba aliondoka na gari lake kabla daktari hajamwita.

Leseni kaipata wapi? Imeandikwaje? Kuna zaidi ya leseni ambayo kwa vyovyote vila kama anayo basi ni feki?
Naomba kuwasilisha.
 
Tumesikia, wenzio tunataka Ku-rebrabd 7 April as Double K's Day, njoo huko uchangie.
 
Ujue leseni zinavyopatikana? Mie nilianza kupata leseni tena nililetewa nyumbani bila kujua hata kuendesha basikeli sembuse pikipiki au gari,bongo hadi muhuri wa ikulu unaupata fresh tu.
 
Ujue leseni zinavyopatikana? Mie nilianza kupata leseni tena nililetewa nyumbani bila kujua hata kuendesha basikeli sembuse pikipiki au gari,bongo hadi muhuri wa ikulu unaupata fresh tu.

Tumethubutu, tumeweza, tunazidi kusonga mbele.

Sanasana hapo ana ka-kesi kengine ka-kujibu aisee.
 
Ghafla kwenye gazeti mojawapo Baba wa Lului anasema Lulu ana umri wa miaka 16.
Lakini katika pitapita, inaonekana huyu mtoto kazaliwa 17 April 1995. Kwa kesho kutwa tu hivi ndo anaingia 17.
Kama asemavyo net, ni kweli maajabu hayaishi dunia hii, I mean sanasana Tanzania hii.
 
Back
Top Bottom