Nakuunga mkono, halafu hawa watu bwana.. walivyokuwa wameng'ang'ania kugombea kwa kupitia hivyo vyama vyao walitegemea nini, sasa hivi wanaanza kuwang'ang'ania CHADEMA, hatuwataki hata kidogo lazima wametumwa tu hawa, mimi naamini hata mwanaume ukiona demu anakung'ang'ani sana umuoe lazima utashtuka na kujiuliza maswali mia kidogo....