u wapi umuhimu wa wanawake kuvaa chupi?

tunavaa ili kubana ****** yasitingishike sana na hata ukivaa nguo isiangaze mtu ukaona ndani mojamoja jaman!hii ni sehemu ya siri kwahyo unatakiwa kuificha sana mtu mwingine ashindwe kuona hta kuhisi ramani yake imekaaje!

Na bikini mnayovaa inasaidia nini?...
 
Ladies naona waje wajiteteee coz hata mimi daah nna doubt xanaaaaaaaa juu ya umuhm haswaa kwa xaxa hv ambapo dressing style yao.......................
 
tunavaa ili kubana ****** yasitingishike sana na hata ukivaa nguo isiangaze mtu ukaona ndani mojamoja jaman!hii ni sehemu ya siri kwahyo unatakiwa kuificha sana mtu mwingine ashindwe kuona hta kuhisi ramani yake imekaaje!

Je,unajua kwamba kisayansi mwanaume na mwanamke wakiwa watupu(pasipo nguo), mwanaume ndiye huwa uchi kwa kuwa viuongo vyake vya uzazi vipo nje?...ukishajua hilo huwezi kuyaita maungo ya uzazi ya wanawake kuwa ya siri
 
Mseseve wesukwa kabisa,kiki uvefikirya mpaka kwa andika kindo sha chii mmeku akwa eeeh? Habari sa iteitei,ure mshiki nao nanga umvese fo?

mmeku akwa ngiveere mmbiko kyakwa nngkundi kililya kula makaaveni.... dhwa iteitei likanshingia ngatumya mda uasha....mpaka vandu wakanra......ngibirikana nalo tiki......ngile suwa....kyo maana ngile ihende maada i kwa mwani...
 
Alicho kisema NEVER GV UP ni ukweli kabisa, kwani wao mvua wanayonyesha haina masika wa kiangazi, bt wakati wowote mawingu na mvua hapo hapo. Upande mwingine wa swali iweje wengine wavae bikini wakati muda wowote wanaweza kunyesha, na mpaka hapo umuhimu wa chupi kwao bado sijaona sababu za msingi.

Na wale ambao hawajafikia hatua ya kuanza kubadili oil, je! Wanavaa za nini?
 
jama yaishe naomba niahirishe mada..jamani na madongo mmenipiga ila nilitaka tuu kujua ni wangapi wanapenda kuwaona wanawake wao wakiwa watupu....kwa kura na malumbano yaliyofanyika humu, ni dhahiri shahiri eangi mnatamani kuwaona kina mama wakiwa chupiless
 
including wewe,,,,,
 
wowowo zingine zinakuwa zimepigwa mipyoro sana ndo maana zinakuwa ndembendembe na si kwamba hawajavaa chupi
 
mimi s..s..s simooo kwanza mimi ni mzee na sina mke so simo kwenye hilo kundi lako unalotaka kunijumuisha mkuu...na hata kipindi nikiwa kijana enzi zile hakukuwa na mambo kama haya ya wanawake kuvaa bikini aka uzi....yaani iklkua ni O.5
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom