u wapi?nimekukosa sana!!

Hahahahahahah.....kweli wewe mkali, mpaka umeweza kunitoa pangoni!!! Salute!!
Nipe story za hapa kijiweni..kuna gani jipya?

Rejao kijana wa ilboru jukwaani? Hajambo canatalisia? mie nilioa janeth1
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahah.....kweli wewe mkali, mpaka umeweza kunitoa pangoni!!! Salute!!
Nipe story za hapa kijiweni..kuna gani jipya?

mi mwenyewe ndo nimerudi nlkuwa natizama tu jf juu kwa juu!
 
ulikuwa pango gan jaman hzi mvua znachangia michepuko
 
ulikuwa pango gan jaman hzi mvua znachangia michepuko
Nilikuwa tu hapa mujini!! Uzee ushaninyemelea, kuchepuka nashindwaaa, sasa hivi hata nguvu ya kufanya mazoezi imekwisha kabsaaaa...
 
mvua zitasingiziwa mengi

basi foleni kuna mchepuko ulifika moro af daraja la ruvu likakatika loh.alijuta anajikanyaga hajui amwambie wife alienda wapi alifikaje moro wkt aliaga anaenda kazini!
 
Hongera sana...kumbe mambo yashakuwa mambo, so sasa hivi ni janeth1 tu!! Cantalisia yupo poa kabisa.
Nilikuwa nimejificha umenyeni kidogo, sasa hivi angalau nitakuwa naonekana oneka...ila kwa kubip

utakuwa umepata ajira halaf shart marufuku kuingia jf.fb hahaha karib ucpotee hivyo ala
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana...kumbe mambo yashakuwa mambo, so sasa hivi ni janeth1 tu!! Cantalisia yupo poa kabisa.
Nilikuwa nimejificha umenyeni kidogo, sasa hivi angalau nitakuwa naonekana oneka...ila kwa kubip

ndio ni mie tu! Akija mwingine ni lazima abishe hodi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…