Wameteuliwa Anna Makinda, Anna Abdallah na Kate Kamba.
Habari ndiyo hiyo!
Kwa nini! Sababu ya spika!Bunge la kina mama!
Bunge la kina mama!
inasemekana ni kazi ya 3k yani kinana, kikwete na kingunge,Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:
1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba
Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!
Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.
Watakaa kama chama na kuwapigia wagombea wao, labda ipigwe kampeni ya maana na wapinzani kuwawin hao wabunge wa ccm.Kwa staili hii Mabere marando anaweza kupata nafasi ya Uspika kwani tunahitaji wabunge 72 tu kutoka CCM