Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
MIMI NILIDHANI BUNGE LA AWAMU HII LINGEKUWA KALI LKN WAMEANZA KULICHAKACHUA MAPEMA MNO. SITTA KUKOSEKANA KWENYE KILE KITI NI PIGO KWETU SAWA NA MSIBA MKUU. BORA WANA JF TUTANGAZE KESHO IWE SIKU YETU YA KUWEKA TANGA. MAXCENCE HAPO UPOOOO...........NAOMBA KUTOA HOJA!
:yield:
Sasa kwanini hakuwaambia wanaume wasiombe hiyo nafasi?
CCM hapa wamelikoroga kwa mara nyingine. Kwa mtazamo wangu, ambao sio lazima ukubalike na wengine, ni kwamba katika jitihada za kuziba nyufa ndani ya CCM ambazo zingegeuka kuwa malipizo ya visasi, CCM wameamua wampe uspika candidate ambaye yuko neutral au angalau u afadhali.
In the minds of CCM centra committee members Vita vya Chenge & Co against Samwel Sitta & Co would obviously cement internal division had either camp won. This perception or call it fear of politics of intimidation and revenge within CCM benefit less politically vocal candidates who, by default, happened to be women. For it weighs difficult for cc to directly associate them to a particular faction; therefore, cc can in principle convince itself that the will-be elected CCM speaker is at least as impartial as it can be established. If my assertion above is correct, I'm afraid CCM is on a self-destruction mode because electing neutral paliament speaker doesn't disolve fighting factions. CCM central committe needs to identify, confront, and punish the shit-disturbers instead of covering them up and in process purnishing members of good will.
I think, for the good of CCM and the country as a whole, CCM elected members of parliament have all the good reason to vote for Marando or anyone from opposition. It is left for wapiganaji to rescue CCM from becoming a defunct because a speaker from opposition is likely to bring on issues that are likely to filter out the goods and the bads within CCM, and when this happens CCM will either resolve internal differences or have mafisadi resign or defect to another party at the expenses of public disgrace.
Mwingine huyu (Niliyem-highlight) ni mwanasiasa wa siku nyingi ambye miaka ya karibuni amejihusisha na biashara na ambaye kwa pamoja na Mama Mkapa "walibinafsishiwa" mradi wa shamba la kuku la taifai Gongo (NAPCO) la Mboto lililokuwa na nyumba, ofisi kadhaa na eneo kubwa sana la ardhi kwa bei ya kutupwa na kujenga iliyokuwa ikijulikana kama Liku Secondary School na sasa nasikia ni tawi la Kampala International University - Dar Es Salaam. Sidhani kama huyu atapambana na ufisadi baada ya kuonja na kufaidi matunda yake.Sababu za sitta kupigwa chini ni hizi. Moja: alikosana na makamba pale alipotoa hukumu bungeni iliyoonekana kumdhalilisha makamba dhidi ya swala la ufisadi wa ardhi lililoibuliwa na halima mdee lililomuhusisha pia londa (meya wa jiji). Pili: alitoa ushauri kwa rais kijwete kwamba wakati mwingine inabidi awe mkali. Watu wengine wenye mawazo finyu walitafsiri ushauri huu kama kumfundisha rais kazi. Tatu: sitta alinusurika kuvuliwa uanacha mwaka jana kwa kile kilichoelezwa na chiligati eti sitta aliacha kazi yake ya u referee nae lageuka mchezaji uwanjani. Swali la kujiuliza je ni kweli serikali ya ccm inasimamia maslahi ya taifa au ya chama?! Wamemteua anna abdala ambaye aliwah kumponda anne kilango bungeni eti anaongea kwa jazba na kupayuka. Hvyo huyu nae yuko kmambi ya mafisadi. Makinda anajulikana kwa kuzima hoja za wapinzani na ni mbabe aliyepindukia nakumbuka aliwbhi kukwaruza na marehemu chacha wangwe na kumtisha eti hajui madhara ya kubishana na kiti cha uspika. Wangwe alimjibu akisema "i have my rights". Huyu mwingine wa tatu simfahamu vizuri....RAI yangu kwa wabunge "makini" wa ccm ni kwamba waungane na wapinzani kuchagua spika kutoka kambi ya upinzani ili mambo yaende sawa kwani dalili zinaonesha ccm inasubiri kuzikwa tu..