U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

U.S. warns Iran on Strait of Hormuz

Iran na urafiki wa dakika hizi za majeruhi kwa bara letu la Afrika, mmmhhhh!
 
US seals $3.48B missiles, technology sale to UAE

WASHINGTON (AP) - The United States has reached a deal to sell $3.48 billion worth of missiles and related technology to the United Arab Emirates, a close Mideast ally, as part of a massive buildup of defense technology among friendly Mideast nations near Iran.

Pentagon spokesman George Little announced the Christmas Day sale on Friday night.

He noted that the U.S. and U.A.E. have a strong defense relationship and are both interested in "a secure and stable" Persian Gulf region.

The deal includes 96 missiles, along with supporting technology and training support that Little says will bolster the nation's missile defense capacity.

The deal includes a contract with Lockheed Martin to produce the highly sophisticated Terminal High Altitude Area Defense, or THAAD, weapon system for the U.A.E.

Tom McGrath, vice president and program manager for Lockheed Martin's THAAD program, said in a statement released in Dallas that it was the first foreign military sale of the THAAD system.

THAAD interceptors are produced at Lockheed Martin's Pike County Facility in Troy, Ala. The launchers and fire control units are produced at the company's Camden, Ark., facility.

Wary of Iran, the U.S. has been building up missile defenses of its allies, including a $1.7 billion deal to upgrade Saudi Arabia's Patriot missiles and the sale of 209 Patriot missiles to Kuwait, valued at about $900 million.

On Thursday, the Obama administration announced the sale of $30 billion worth of F-15SA fighter jets to Saudi Arabia.
Under the fighter jet agreement, the U.S. will send Saudi Arabia 84 new fighter jets and upgrades for 70 more. Production of the aircraft, which will be manufactured by Boeing Co., will support 50,000 jobs and have a $3.5 billion annual economic impact in the U.S.

All the sales are part of a larger U.S. effort to realign its defense policies in the Persian Gulf to keep Iran in check.
The announcement came as U.S. officials weighed a fresh threat from Tehran, which warned this week it could disrupt traffic through the Strait of Hormuz, a vital Persian Gulf oil transport route, if Washington levies new sanctions targeting Iran's crude exports.

Under Secretary of State for Political Affairs Wendy Sherman, the third-ranking U.S. diplomat, will travel to Saudi Arabia and the U.A.E. next week to discuss "ongoing developments" in the region with senior officials of the two nations, the State Department said Friday.

US seals $3.48B missiles, technology sale to UAE - Yahoo! News
 
It is good for Iran. They will find ways to get the technical know how of these things and reverse engineer them! End of American century if they keep relying on daft oil dictators.
 
Heri na fanaka ya Mwaka Mpya JF.
Mwaka 2012 umeanza kwa ishara mbaya kwa wale wanofuatia masuala ya matangamano ya Kimataifa. Ndiyo kwanza rais Barack Obama amesaini kuwekewa vikwazo benki kuu ya Iran, eti kwa sababu nchi hiyo 'ina matamanio' ya kuunda silaha za nuklia. Nimeweka neno 'matamanio' (ambitions) ndani ya vibango kwa kusisitiza kuwa hadi sasa hakuna dalili yeyote kama Iran ina maatamanio hayo. Iran yenyewe inasema haina.
Lakini, hata kama inayo, so what? Kwa nini vikwazo hivyo haviwekewi wengine, ambao wanazo hasa?
Kama asemavyo Ron Paul 'ukianza mkondo wa vikwazo hatimaye utaishia vita' Hii ndivyo ilivyotokea kwa nchi zote- Iraq, Argentine,Libya.....

(Nchi pekee ambayo vikwazo havijapelekea vita ni Cuba- lakini hii ni special case- kwani Marekani ilipatana na Soviet ya wakati ule kuwa isiiguse Cuba na Soviet haitaigusa Uturuki).

Kwa mujibu wa wachunguzi wengi, vita dhidi ya Iran vitatokea kabla ya mwezi Machi mwaka huu, kutokana na sababu nyingi ambazo uki google utaelewa. Wengine watasema, matishio mengi ya namna hii yamekwishatolewa tangu 2005. Nasema safari hii ni tofauti, hasa Syria ikianguka katika miezi miwili ijayo.
Kwa wale wasio na naamna nyingine ya kupata habari za uhakika, uhasimu wa Marekani na Iran una sababu mbili muhimu

1- Iran kuwa msitari wa mbele wa kutetea haki za WaPalestine kwa vitendo (siyo kama Saudi Arabia na Waarabu wengine)

2- Hofu ya kuwa mfano wa Iran wa kujitegemea wenyewe utaigwa na madola mengine ya Mashariki Ya Kati, na hivyo kuathiri udhibiti wa Marekani wa eneo hili.

3- Kuwepo taifa lililo sawa kwa nguvu za kijeshi na Israel katika Mashariki ya Kati

Utaona kwamba suala la nuklia ni kisingizio tu. Kama unaona habari hizi hazikuhusu, fikiria tena. Iran siyo a 'push over' kama Iraq. Wairan- usi wa confuse na Waarabu- ni watu wenye ari kubwa ya kupigania nchi yao. Mfano ni katika vita vya Iran Iraq. Iraq ilikuwa inasaidiwa na nchi zote kubwa kwa silaha, na Waarabu kwa fedha. Iran ilikuwa pekee ikiwa na vikwazo vya silaha. Lakini ikaweza kumshinda Saddam na lau si kujiingiza Marekani dhahiri wangefika Baghdad, a la Tanzania!

Ninachotaka kusema ni kuwa itakapotokea vita, amini kuwa visima vyote vwa mafuta Mashariki ya Kati vitachomwa moto, na Israeli itashambuliwa kwa maelfu ya makombora- Israel itajibu kwa silaha za nuklia......

vita ya III ya dunia imeanza!
 
Heri na fanaka ya Mwaka Mpya JF.
Mwaka 2012 umeanza kwa ishara mbaya kwa wale wanofuatia masuala ya matangamano ya Kimataifa. Ndiyo kwanza rais Barack Obama amesaini kuwekewa vikwazo benki kuu ya Iran, eti kwa sababu nchi hiyo 'ina matamanio' ya kuunda silaha za nuklia. Nimeweka neno 'matamanio' (ambitions) ndani ya vibango kwa kusisitiza kuwa hadi sasa hakuna dalili yeyote kama Iran ina maatamanio hayo. Iran yenyewe inasema haina.
Lakini, hata kama inayo, so what? Kwa nini vikwazo hivyo haviwekewi wengine, ambao wanazo hasa?
Kama asemavyo Ron Paul 'ukianza mkondo wa vikwazo hatimaye utaishia vita' Hii ndivyo ilivyotokea kwa nchi zote- Iraq, Argentine,Libya.....
(Nchi pekee ambayo vikwazo havijapelekea vita ni Cuba- lakini hii ni special case- kwani Marekani ilipatana na Soviet ya wakati ule kuwa isiiguse Cuba na Soviet haitaigusa Uturuki).
Kwa mujibu wa wachunguzi wengi, vita dhidi ya Iran vitatokea kabla ya mwezi Machi mwaka huu, kutokana na sababu nyingi ambazo uki google utaelewa. Wengine watasema, matishio mengi ya namna hii yamekwishatolewa tangu 2005. Nasema safari hii ni tofauti, hasa Syria ikianguka katika miezi miwili ijayo.
Kwa wale wasio na naamna nyingine ya kupata habari za uhakika, uhasimu wa Marekani na Iran una sababu mbili muhimu
1- Iran kuwa msitari wa mbele wa kutetea haki za WaPalestine kwa vitendo (siyo kama Saudi Arabia na Waarabu wengine)
2- Hofu ya kuwa mfano wa Iran wa kujitegemea wenyewe utaigwa na madola mengine ya Mashariki Ya Kati, na hivyo kuathiri udhibiti wa Marekani wa eneo hili.
3- Kuwepo taifa lililo sawa kwa nguvu za kijeshi na Israel katika Mashariki ya Kati
Utaona kwamba suala la nuklia ni kisingizio tu. Kama unaona habari hizi hazikuhusu, fikiria tena. Iran siyo a 'push over' kama Iraq. Wairan- usi wa confuse na Waarabu- ni watu wenye ari kubwa ya kupigania nchi yao. Mfano ni katika vita vya Iran Iraq. Iraq ilikuwa inasaidiwa na nchi zote kubwa kwa silaha, na Waarabu kwa fedha. Iran ilikuwa pekee ikiwa na vikwazo vya silaha. Lakini ikaweza kumshinda Saddam na lau si kujiingiza Marekani dhahiri wangefika Baghdad, a la Tanzania!
Ninachotaka kusema ni kuwa itakapotokea vita, amini kuwa visima vyote vwa mafuta Mashariki ya Kati vitachomwa moto, na Israeli itashambuliwa kwa maelfu ya makombora- Israel itajibu kwa silaha za nuklia......vita ya III ya dunia imeanza!

Vyovyote itakavyokuwa, kama Iran inamatamanio ya kutengeneza silaha za nyuklia, basi asiruhusiwe. Huwezi kumruhusu kichaa akawa na silaha kama hizo. Kama hana matamanio wamuache!!!!!
 
Kabisa kabisa.
 
Hiyo habari kwamba amesaini vita ikwapi?
 
Haki za wapalestina ni zipi!!?

Hakuna vita ya III kwa wakati huu. Soma tena na tena uone ishara za World war III. Ni kutajie tu moja, all the nations of the world yatakapokuwa against Israel. bado USA inasupport Israel.
 
umetukata..unafikiri wote sisi ni watoto?mimi nina rafiki zangu ni wa kurds..wanaipenda marekani kama nini kwa sababu iliwatoa kwenye mikono ya dikteta sadam hussein..unajua watu wangapi wanateseka nchini Iran?
 
hii itakuwa ndo siku ya dhiki kuu maana gogu wa magogu yaani urusi atakapokuja kuipiga israel kwa kumsaidia mfalme wa kaskazini yaani irani. Tumuombeni Mungu sana maana Yesu alisema mtasikia tetesi za vita na ufalme utatoka kwenda kupigana na ufalme mwingine ila mwisho bado. Jamani hii vita ipo na inatokota kinachotafutwa ni chanzo yaani kila mtu amtafutie mwenzie sababu
 
Haya yatatokea baada ya unyakuo,na unyakuo bado kutokea;kwa hiyo ku-link kihivyo.
 
habari imekaa kiudaku tu sasa amesaini vita gani hapa.
 
Ndugu yangu naona Unabii kwako inaeleweka. Mungu na akubariki sana.
 
Kama hukufahamu kwa kusoma mara moja, waweza kurudia.
 
Iran kuruhusiwa kuwa na bomu la nuklia si vizuri kwa sababu zifuatazo

1. Itasababisha Saudi Arabia na nchi nyingine za kiarabu kuwa na nuklia
2. Wanataka kutumia nuklia kujikinga wasitolewe madarakani kama North Korea na kuendelea kukandamiza watu wao ambao wengi wanataka mabadiliko kama tulivyoona kwenye maandamano.

Vilevile ni lazima tuelewa Obama hajali swla la kubadilisha serikali bali kuzuia nuklia hivyo kama Iran wataenelea kutengeneza nuklia itachukua siku mbili tu kutawanya hayo majengo hivyo sio vita kwani Iran watampiga marekani wapi wakati wanatumia ndege tu.
 
Haya yatatokea baada ya unyakuo,na unyakuo bado kutokea;kwa hiyo ku-link kihivyo.

Ngoja nikifika mahali pazuri nikupe link ila unyakuo unaouzungumzia ni ule kabla ya kuanza ule utawala wa mpinga kristo maana kipindi cha utawala wake kitakuwa ni kigumu maana hapo hatakuwepo tena mhubiri yeyote watu watalazimishwa kupigwa chapa yake, ila lengo la hii vita ni kupunguza idadi ya watu na kuandaa mazingira ya new world order
 
habari imekaa kiudaku tu sasa amesaini vita gani hapa.
Hebu rudia kusoma kilichoandikwa. Kilele cha vikwazo vya uchumi ni vita. Baada ya vikwazo hivi vya sasa vilivyosainiwa na Obama, Marekani haina vikwazo vingine ilivyobakiza vya kuweza kuiwekea Iran.
 
Vyovyote itakavyokuwa, kama Iran inamatamanio ya kutengeneza silaha za nyuklia, basi asiruhusiwe. Huwezi kumruhusu kichaa akawa na silaha kama hizo. Kama hana matamanio wamuache!!!!!

Natumaini unaandika hivi kutokana na intellectual analysis na si kwa kufuata mkumbo tu au (kama ninavyodhania) kwa udini. Ukichaa wa Iran uko wapi? Hebu niambie, tangu babu yako alipozaliwa hadi leo umesikia/kuambiwa au kusoma kuwa Iran imeishambulia nchi yoyote? Hao wasio vichaa, wameshambulia nchi ngapi katika miaka 10 tu iliyopita?
Acha kufuata ushabiki tu, soma.
 
Iran kuruhusiwa kuwa na bomu la nuklia si vizuri kwa sababu zifuatazo

1. Itasababisha Saudi Arabia na nchi nyingine za kiarabu kuwa na nuklia
2. Wanataka kutumia nuklia kujikinga wasitolewe madarakani kama North Korea na kuendelea kukandamiza watu wao ambao wengi wanataka mabadiliko kama tulivyoona kwenye maandamano.

Vilevile ni lazima tuelewa Obama hajali swla la kubadilisha serikali bali kuzuia nuklia hivyo kama Iran wataenelea kutengeneza nuklia itachukua siku mbili tu kutawanya hayo majengo hivyo sio vita kwani Iran watampiga marekani wapi wakati wanatumia ndege tu.

Unachohitaji ni elimu zaidi ya suala hili. Tangu lini nuklia zikalinda system ya serikali? Soviet isingesambaratika.
Una ushahidi kuwa Iran inatengeneza silaahaa za nuklia? Hebu ulete maana haata IAEA hawana, wanasema tunadhania.....
 
Back
Top Bottom