U.s. President '12: Poll averages over time

U.s. President '12: Poll averages over time

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
[TABLE="class: active tab-pane table table-condensed, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]i
Ohio

Obama
47.2%

Romney
45.0%

+
2.2

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]s
Va.

Obama
48.1%

Romney
46.7%

+
1.4

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]I
Fla.

Obama
48.0%

Romney
46.9%

+
1.1

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]a
N.C.

Romney
47.0%

Obama
45.8%

+
1.2

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]F
Colo.

Obama
48.7%

Romney
44.7%

+
4.0

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]l
Pa.

Obama
49.9%

Romney
41.4%

+
8.5

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]L
Iowa

Obama
46.0%

Romney
45.3%

+
0.7

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]g
Nev.

Obama
49.1%

Romney
46.6%

+
2.5

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]v
Wis.

Obama
48.2%

Romney
47.2%

+
1.0

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]f
N.M.

Obama
49.7%

Romney
42.7%

+
7.0

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]V
Mich.

Obama
47.3%

Romney
45.7%

+
1.6

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: contest-unit"]d
N.H.

Obama
50.0%

Romney
45.2%

+
4.8

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[URL]http://news.yahoo.com/elections/polls/[/URL]
 
So far so good. Na hapo bado convention yetu next week, na debates za kufa mtu October. Mitt the Twitt atakiona
 
Na bado.. Hata upepo N.C. umeanza kubadili mweleko..
 
Marekani hawawezi kuchagua moron sorry mormon hata kwa viboko. Mitt Romney anasifika kwa kuficha pesa ughaibuni. Huyu si mzalendo na isitoshe ni mbaguzi kama warepublican wenzake.Wanajidai watafufua uchumi wakati uliuawa na mrepublican mwenzao kihiyo George Bush Jr. Shame on Republicans!
 
Huyu running mate wao nimemsikiliza jana kwenye video hadi nimechoka.

Alimalizia na tu-utani twa kitoto sana. Eti Romney anasikiliza Old school na yeye anasikiliza AC&DC na RED ZEPELIN ambazo nazo zimeshazeeka tayari.

Utani wake ulikuwa hata haushiki gundi na watu wanajilazimisha kucheka. Heri angelikuja na kumwaga mahubiri na si kujifanyisha na yeye amekuwa Marehemu Leslie Nielsen.....

Last edited by a moderator:
Anfortyunaitl nina wasi wasi sana na mkakati wa Baraka. Binafsi, simpendi Mitt lakini kuna dalili za kutisha kuwa kuelekea siku ya uchaguzi Baraka atakosa oksijeni kabisa; si kwa sababu ya uhodari wa Mitt, bali kwa sababu ya uzembe wa Baraka mwenyewe kushindwa ku-atikyuleit mafanikio ya utawala wake na kumwacha akiwa ovashaw'd na spins za akina Mitt. Miaka minne ya Baraka ina mafanikio makubwa sana kuliko miaka minane ya Bush.
 
Subiri baada ya convention ndiyo utajua when they say Chicago politics what does it mean. Huu uchaguzi hata Republicans wenyewe wa ndani wanajua hawashindi wanachofanya ni kujaribu kumtumia Willard kushikilia angalau moja kati ya senate na house.

Ukiangalia waongeaji wote kwenye convention walikuwa kwa ajili ya 2016 badala ya kumuuza Willard. Willard anapesa nyingi sana na ameshafanya siasa za maji taka sana kuhusu Obama ila Polls hazisogelei kwake. Alikuwa na plan ya kufanya uchaguzi Referendum ya Obama kashindwa na sasa ameelemea kwenye kampeni za uongo na uzushi, anachukua vipisi vay kauli za Obama na kuzifanyia slogan watu wameisha mgundua. Kwa nini hataki kuweka wazi tax returns zake?. Anajua fika kuwa pindi akifanya hivyo uchaguzi utakuwa umeisha. Anachofanya ni kuendelea kutumia ARV huku akijua fika kuwa virusi havitoisha.

Debate ndiyo utakuwa mwisho wake kwani hatakuwa na sababu wala njia ya kukwepa maswali na akifanya hivyo ataonekana hana jipya.
 
Ndugu Hofstede unanitia matumaini tu lakini bado nina wasiwasi sana; nitasubiri matokeo. Ninapenda sana Baraka aingie kipindi cha pili kwa sababu ameshamaliza kusafisha uchafu, kipindi hicho kitakuwa kizuri sana iwapo kinaonekana ni maendeleo ya sera zile zile. Mabadiliko ya uongozi yatasababisha kipindi kijacho kiwe cha kuanza sera nyingine, na mambo yanatayumba na yanaweza kuwa mabaya zaidi.
 
Mimi wasiwasi wangu ni kuwa Obama ameisha safisha njia na kama wamarekani watamnyima ridhaa ya kipindi cha pili ni dhahiri kuwa credit zitaenda kwa atakayekuwa madarakani just by sitting and watching. Maana Romey hana ajenga inayoeleweka he is everywhere anapoona kunaweza kumpatia ushindi yeye anaelekea tu.

I hope wamarekani si wajinga kiasi hicho, DNC itaweka wazi hili na huenda tutashuhudia gap kubwa sana baada ya convention. GOP wameamua kwenda rogue kwa kuazisha uwongo dhidi ya Obama na kuufanya ukweli ila nina hakika kuwa uchagui huu mpaka sasa Obama ana upper hand, unless miezi hii miwili itokee recession nyingine kama ya 2008
 
Kichuguu,
Usiwe na wasiwasi. Obama hajalala. Ninapoona upotoshaji unaotumiwa na Republicans, kuhusu utendaji wa Obama, na uwongo wa Romney eti walitaka Obama afanikiwe lakini ukweli ukiwa kwamba usiku kabla ya kuapishwa, viongozi wa Republicans walikutana, akiwemo Gingrich, Cantor, McConnel na Ryan kupanga mkakati wa kuhakikisha Obama hafanikiwi na anakuwa one-term, ndipo natambua how desperate these guys are. Kile kiwanda cha magari ambacho Ryan anasema kilifungwa wakati wa utawala wa Obama, kilifungwa June 2008, hata kabla ya uchaguzi. Then unajiuliza, why are they telling so much lies? It is because the truth will hurt them. Subiri uone mambo next week, na debate zinazofuata.
 
Kuna sababu gani za kumrudisha Obama madarakani kama uchumi umemshinda kurekebisha? Au nyie mnapenda kuangalia sura yake kwenye TV ndiyo maana mnataka arudishwe madarakani? Mkiona sura yake kwenye TV basi mnalainika roho zenu. Hebu tukumbusheni vitu alivyofanikiwa kufanya Obama (his accomplishments) labda na sisi tutabadili mawazo.
 
Back
Top Bottom