"U Mulugo unaendelea..."

"U Mulugo unaendelea..."

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
386582_484781154897394_1723965921_n.jpg


mind+your+language.JPG

sony_erection.jpg


DSC01063.JPG
 
hee!mbona hii hatari!huyo aliyepewa tenda ya kuliandika na aliyelikagua na kulisimika wote ni vilaza!
 
Duh:huu ni ukilaza wa hali ya juu!

Tatizo liko kwako mzee. Unahisi kwamba lugha zote duniani unazijua kumbe sivyo!. Suluhu tumtafute anayejua kilugha hicho atupe tafsiri sahihi. Yawezekana kwa lugha ile hajakosea.
 
Aibu yao wanyalu aiseeee! Ila sio vilaza kihivyo. Hiyo kampuni si ndo ya Kijana wa J J M.
 
Tatizo liko kwako mzee. Unahisi kwamba lugha zote duniani unazijua kumbe sivyo!. Suluhu tumtafute anayejua kilugha hicho atupe tafsiri sahihi. Yawezekana kwa lugha ile hajakosea.
Precisely mkuu,ni kweli kuna lugha nyingi sana hapa duniani!
 
huyu atakua na hasira tu ya 10% aliyoombwa..............au ni kanjanja wa ujenzi
 
hee!mbona hii hatari!huyo aliyepewa tenda ya kuliandika na aliyelikagua na kulisimika wote ni vilaza!
Na ukienda kwenye BoQ utashangaa utakapoona kwamba gharama za kuandaa huo ubao ni Sh. 2,500,000 na Mkandarasi tayari ameshalipwa baada ya kukaguliwa na Mtaalam Mshauri na Meneja wa TANROAD!! Hiyo ndiyo Tanzania yenye wasomi wa kisasa wa aina ya Mulugo!!
 
Tatizo liko kwako mzee. Unahisi kwamba lugha zote duniani unazijua kumbe sivyo!. Suluhu tumtafute anayejua kilugha hicho atupe tafsiri sahihi. Yawezekana kwa lugha ile hajakosea.

Sabby kwan hyo ni lugha gan?,
 
KUNA LORI MOJA NILISOMA LIMEANDIKWA 'LAW IN THE WORLD JUSTICE HEAVEN',sijui alikuwa akimaanisha nini.
 
Back
Top Bottom