Habari ndugu zangu,
Niende moja kwa moja kwny hoja, nimetoka kuangalia movie 1 inaitwa UFO ya mwaka 2018, ama kwa hakika ni 1 kati ya movie bora kuwai kuektiwa kwa kipindi cha hivi karibuni,
Kwa ambao mshaitazama karibuni tushee maujanja..
Nawasilisha
U.F.O( unidentified flying objects) haiwezi kuwa ya kibongo watawezaje kwa mfano maana bila shaka lazima kuwe na technology ya hali ya juu kiasi cha kuamini kuwa ni aliens kama inavyodhaniwa