muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
Kuna taarifa kwamba Ofisi za tzdaima limevamiwa usiku wa manane kwa ile inaosadikiwa ni kuwachokoza moja ya madhehebu ya dini nchini kwa kumuandika vibaya kiongozi wa madhehebu yao.
inasemekana muhariri wake alikimbia
inasemekana muhariri wake alikimbia