Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?Serikali ya watu wa Saudi Arabia imeipatia serikali ya TZ msaada wa Tende ikiwa ni sehemu ya kukuza urafiki wa jamuhuri hizi mbili.
Source Channel Ten news saa moja jioni.
My take: kulikuwa na tuhuma kwenye Wilileaks kuwa Mkuu wa kaya alipewa zawadi ya suti na Al Bawady wa Kempinsky mara wakapewa eneo serengeti la kujenga Bilila Lodge. Sasa hizi tende sijui wanalipia nini walichopewa na TZ? Maana siku hizi vya bure vina gharama zaidi.
Atajua wapi huyo! Anajua tu uhusiano wa mbege, kitimoto na ukristo!Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?
Serikali ya watu wa Saudi Arabia imeipatia serikali ya TZ msaada wa Tende ikiwa ni sehemu ya kukuza urafiki wa jamuhuri hizi mbili.
Source Channel Ten news saa moja jioni.
My take: kulikuwa na tuhuma kwenye Wilileaks kuwa Mkuu wa kaya alipewa zawadi ya suti na Al Bawady wa Kempinsky mara wakapewa eneo serengeti la kujenga Bilila Lodge. Sasa hizi tende sijui wanalipia nini walichopewa na TZ? Maana siku hizi vya bure vina gharama zaidi.
Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?
King xvi, ile degree ya madrassa ulishaimaliza?Mbona umechanganya mambo? Al bawady na tende wanahusiana nini, waliotoa tende wa Saudi al bawady wa emirate!
Tende ni "symbol" ya urafiki kwa mwaarabu, anakupa tende kuonesha kuwa anakuthamini na anathamini urafiki wako nae. Mwaarabu hampi tende asiye mthamini. Tende kwa miaka, vizazi na vizazi, toka nchi za kiarabu hazijawa na utajiri wa mafuta hicho ndio chakula chao, tunda lao na tende na mtende huwa na thamani kubwa sana kwao.
Ahsante Saudi Arabia kwa hii symbol ya urafiki.
King xvi, mimi bado nasomea shahada ya madrassa ndio maana sijui kitu!Dahh, yaani katika watu ambao hawana maana wewe ni wa kwanza. Basi US imesilimishwa kwanza kabla yetu kwani wao walichukuwa tende na mitende na kwenda kuifanyia utafiti na sasa wanalima tende zenye kiwango cha juu.
Nasikia pia kuna ndizi zinatoka ISRAEL NA MATANGO yanatoka ROMA-ITARY,vp hii pia itakua JK kaibatiza?????????Kwani wewe hujui kuwa JK kaisilimisha nchi yetu?!! Tanzania sasa hivi inahesabiwa kama TAIFA LA KIISLAM NDIO MAANA INAPATIWA TENDE. Hauijui connection kati ya tende na uislam?
King xvi, mimi bado nasomea shahada ya madrassa ndio maana sijui kitu!
King xvi, ile degree ya madrassa ulishaimaliza?