Tz tunalakujifunza toka Uingereza: Scotiland yadai uhuru toka Uingereza, Zanzibar ileeee

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
Habari wadau!
Mwaka jana/juzi ilipigwa kura ya kujitenga kwa Scotiland na kula ile ilipofeli Kuna wadau wakasema tunajifunza toka Uingereza na muungano wao.

Walipopiga kura ya kujitoa EU hao hao wakasema ni haki yao na sie kama Tanzania tunaweza kujitoa EA kwa kuwa wanajumiya wanafanya mambo mengi kuja kutuibia rasilimali zetu.

Sasa leo tena Scotiland iliyokuwa haitaki Uingereza kujitoa nao leo tena wamepeleka pendekezo la wao kujitoa ndani ya Uingereza.

Je kwetu muungano na zanzibar tumejiandaaje?
 
Kuifanya zanzibar kama wilaya ya Bariadi.ili kuwa na maana halisi ya nchi moja ya Tanzania
Nadhani hiyo ndiyo njia sahihi ya kujifunza.unless otherwise we go back to our beloved TANGANYIKA.
 
Huu si muungano ni KAUJANJA UJANJA TU kanyerere bas....lkn karibu namba itasome km ni HASI au CHANYA maan misaada ndio hiyoooo na taifa ndio hilooooo linaenda KUZIMU kwa kujifanya kuishikilia zanzibar wakat WAZANZIBAR enyewe ni wajanja kinoma hawatak kupoteza IDENTITY yao
 
Na vile wenzetu wasivyotaka kuitwa watanzania, dah mi inanikera sn. Kwann tusiwaache tu wafanye Mambo yao?
 
Habari wadau!
Mwaka jana/juzi ilipigwa kura ya kujitenga kwa Scotiland na kula ile ilipofeli Kuna wadau wakasema tunajifunza toka Uingereza na muungano wao.

Walipopiga kura ya kujitoa EU hao hao wakasema ni haki yao na sie kama Tanzania tunaweza kujitoa EA kwa kuwa wanajumiya wanafanya mambo mengi kuja kutuibia rasilimali zetu.

Sasa leo tena Scotiland iliyokuwa haitaki Uingereza kujitoa nao leo tena wamepeleka pendekezo la wao kujitoa ndani ya Uingereza.

Je kwetu muungano na zanzibar tumejiandaaje?
  • Baada ya kutafakari kwa kina huku tukitumia reference ya mambo mbalimbali yaliyo kwisha tokea tumekubaliana kwamba ili muungano uendelee kuwepo hatuna budi kuachana na mfumo wa serikari mbili hivyo tunafanya maandalizi ya kwenda kwenye serikari moja
 
Back
Top Bottom