ni mda umefika sasa jf tech tuanze kuchangia mada za. jinsi ya kuhack. mda wa. kujifunza kudownload na kuplay movies umeisha its time to move on, nkiona kuna wito wa watu ntaangusha site 3 hapa tz just for a start

Ok...wewe umejikita kuangusha site k well and good
Kwa nn tusianze na hawa Smile,Vodacom,Airtel,Tigo,Zantel,TTCL,Sasatel tukatumia Internet na kupiga International call BURE kabisa
Tukiwa na such hackers basi mbona tutakula uroda hapa JF in memory of e2themiza
Haaah!wewe lengo lako linakuwa n nn hapo ndo hacking yako itakapokuwa na mashaka...nahisi inabidi ubadilishe mtazamo uki hack ISP wako lengo kuu ni kumuonesha loopholes ili aweze kuzi-fix na sio utumie eti lyf tym kama unavyowaza wewd...And it cannot take you thru the all nights without sleep iwapo unajua unachokifanya
One thing with hackers, don`t talk too much, tena this publicly... Be silent, napenda offsec (watengenezaji wa backtrack na kali linux) wanavyosema... The Quieter you become, the more you are able to hear!