Two years in a row, J. Kikwete hatokuwepo Davos

Jan 14, 2017
83
71
DUDpztbWAAAhrQj.jpg


DUSq_gIX0AEZx5u.jpg


DUSrC7YXkAU-Nvr.jpg


DUSqN3qWsAAsooX.jpg







DUOFhJxX0AAZJ_G.jpg


DUPqSGCXkAAb4wP.jpg


DUQgsl0XkAADpBN.jpg


Amekuwa akienda kwenye WEF Davos miaka 10 mfululilizo na hukaa kule kwa muda wa wiki nzima kisha harudi nyumbani direct, hupita Addis kwenye AGM ya AU hapa Addis

Namruhumia sana kwa kweli, yale mambo ya ku rub shoulders na Donald Trump (mwaka huu atakuwepo), international financiers (Christine Lagarde!), titans of industry (Ginni Rometty!), high-profile academics (Adam Grant!), well-heeled philanthropists (George Soros!), and royalty (Queen Rania!).

Na alikuwa akienda hiyo safari bas advanced team itakuwa na watu si chini ya 10 na yeye mwenyewe anaokwenda nao si chini ya 15 na hapo kuna balozi wetu huko na team yake ya watu si chini ya 10....wote hao watakuwa mahotelini, wanakula wanakunywa, wanatumia usafiri etc (msiniulize per day naaamini zilikuwa zinatumika zaidi ya USD 30,000) kwa Mkwere kuwa kule aki rub sholders na hao jamaaa

Sijajua kitaifa tumenufaika na nini na hizo safari lakini alikuwa ana fit in kisawa sawa na suti zake za Savile Row (sio zile tulizosingizwa ananunuliwa na Al Barwadi kwenye wiki leaks).

What a life!

Kabla hatujatoana roho, ushahidi huu hapa kwenye diplomatic cable aliyoandika balozi wa Marekani kwenda State Dept kuhusu JK na flashy suits (ndiyo, tulifika mahala rais wetu alikuwa ananunuliwa suti na waarabu wa Omani) na hii yote baada ya mwarabu kuwapatia CCM Dola milioni 1.




C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 000277 SIPDIS DEPT FOR INR, R.EHRENREICH E.O. 12958: DECL: 02/13/2016 TAGS: PGOV, PREL,

TZ SUBJECT: KIKWETE CORRUPTION TIDBIT

Classified By: Ambassador Michael Retzer, Reason 1.5 (d)

1. (C) President Kikwete has accepted gifts (bribes) from the owner of the Kempinski Hotel chain,s Tanzanian properties, a citizen of the United Arab Emirates.

2. (C) In a conversation with the manager and the publicity director of Dar Es Salaam,s Kilimanjaro-Kempinski Hotel hours after accompanying A/S Frazer to her October 18, 2005 meeting with then-Foreign Minister Kikwete, I commented on Kikwete's flashy attire, asking "Who dresses him?" "We do," they responded. Initially thinking this meant Kikwete frequented a men,s shop in the hotel, I learned later in the evening from hotel publicity director Lisa Pile (protect) that the hotel owner*UAE citizen Ali Albwardy*had recently flown Kikwete to London for a subsidized shopping expedition. Among other things, on that trip Ali Albwardy bought Kikwete five Saville Row suits. He had also recently made a $1 million cash contribution to the CCM (which is a legal contribution under current Tanzanian law).

3. (C) Pile told me the Kempinski Hotel chain is greatly expanding its presence in Tanzania. She said that in December it would open "the best hotel in Zanzibar." Her prediction was a little off; the new Kempinski hotel, located on the beach on Zanzibar,s east coast, opened January 5. I attended the opening ceremony along with Zanzibari President Karume, who was asked publicly by Ali Albwardy for a site in Stone Town to build a new hotel. Later that day, Pile revealed that the Zanzibar government had already earmarked for Ali Albwardy a hotel site in Stone Town.

4. (C) Pile also said in the October 18 conversation that Ali Abwardy was about to receive the rights to construct two new hotels on the mainland: one on the edge of Ngorongoro Crater and another on the Serengeti plain overlooking the main animal migration routes. Stringent conservation rules currently ban the construction of permanent structures inside national parks*including in the crater and on the Serengeti plain*but Pile said that in November legislation would be introduced to parliament to authorize the new hotels. (Comment: We have received no reports on new legislation, but the Dar Es Salaam Daily News on January 15 reported that the Tanzania National Parks Authority had approved construction of a five star hotel on the Serengeti plain.)

4. (C) Later on October 18, over dinner, an Indian/South Asian man described as a business associate of Ali Albwardy briefly took Pile from the table for a conversation in Kiswahili. I am not sure what was said, but Kikwete's name came up several times and he passed her an envelope. Pile told me the envelope was stuffed with 1 million shillings ( $1,000) and was to pay for a Kikwete meeting at the Kilmanjaro-Kempinski later that month. Apparently Kikwete is a regular customer, but no name ever appears on the hotel registry when a government bigshot has an "event" in one of the guest rooms.

5. (C) Bio Note: Lisa Pile, an Australian citizen, has lived in Dar working for Kempinski Hotels since early 2004. Before that she had served in a similar capacity with the Kempinski chain in China. Her family in Australia is prominent in Australia's Liberal Party (the center-right party of Prime Minister John Howard).

6. (C) Comment: What does it all mean?

I don't know, but my guess is that the investor Ali Albwardy has access to oil money out of the UAE. I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business. 7. (C) For his part, Kikwete probably thinks having all these five star hotels around is a good idea for the country,and I agree with him. His new minister of Natural Resources and Tourism, Anthony Diallo, says he wants to double tourism,s contribution to the national economy in ten year,s time. Kikwete probably believes there is no harm in taking these &little gifts8 to do what he would have been inclined to do anyway. That said, they are what they are: bribes.

WHITE

Cable: 06DARESSALAAM277_a
 
chief umeenda mbali

Jana angeenda kwanza kwenye Innauguration ya George Weah pale Liberia, kisha angeruka kwenda Abuja kuonana na akina Adesina then baada ya hapo angeruka kwenda huko Davos kupiga picha na hao wakubwa

kweli mtu ukiwa huna power unakwisha kabisa na ile ndege imepaki tuu hapa Dar
 
Inaonekana lengo lako sio kuhabarisha bali una agenda nyingine.

Hiyo Cable unataka kuaminisha watu kwamba ni ya tarehe 13/02/2016.... huo ni UONGO MTUPU!!

Michael Retzer alikuwa Balozi wa Marekani nchini Tanzania from 2005 to 2007. Sasa mtu aliyetoka nchini miaka zaidi ya 10 iliyopita imekuwaje tena ameweza kutuma diplomatic cable miaka 2 iliyopita dhidi ya nchi ambayo haiwakilishi?!

Isitoshe, hiyo habari ilitolewa na Wikileaks na ilikuwa filed 2006! ILienda public mwaka 2011 na Tanzania ilifahamika kama scandal ya JK kuhongwa suti!

Sasa kwanini umeandika as if hii habari ni ya 2016?! Why it's like hiyo ban to Davos inaanza sasa!

Halafu ingawaje unajiita FOREIGN OBSERVER lakini bado unaonekana hii michezo ya diplomasia za kimataifa hufahamu inavyochezwa!

Cable ni ya 2006 lakini from 2006 to 2015 ndo kwanza JK na Marekani wakawa wanaenelea kukumbatiana!

NOTE: Naona umesahau kufuta jina la Anthony Diallo kama Waziri wa Utalii manake wajanja watakushitukia kirahisi kwamba hiyo habari ni outdated na sio ya 2016 kama unavyodai!!
 
chief umeenda mbali

Jana angeenda kwanza kwenye Innauguration ya George Weah pale Liberia, kisha angeruka kwenda Abuja kuonana na akina Adesina then baada ya hapo angeruka kwenda huko Davos kupiga picha na hao wakubwa

kweli mtu ukiwa huna power unakwisha kabisa na ile ndege imepaki tuu hapa Dar
Hahah we ndo umemjulia kabisaa aisee,power is everything.

Huwezi kuamini eti leo Makonda ana kiki mjini hapa kuliko mstaafu na wenzake.
 
Aliruka kwenda kwenye maandalizi ya msiba wa Mandela ghafla akaenda Nairobi kwenye sherehe ya kitaifa huko (jamhuri day au kuapishwa) then akarudi kuzika South Africa. Next time tusijiloge kuteua waswahili Pwani, Tanga, znz, lindi na mtwara
 
uo ni unafiki, uzushi na uchonganishi wa waziwazi, furaha ya hao wazungu ni kutuchonganisha na kuona waafrika tukifarakana miaka yote na kushindwa kufanya maendeleo.

mbona hawakuyazungumza ayo alipokua madarakani, safari za mh kikwete wenye macho matunda yake tumeyaona, mtoa mada kama wewe ni moja ya vibaraka wa hao wachonganishi warudishie ujumbe watanzania hawachonganishwi kirahisi ivyo watachonganisha nchi za mashariki ya kati, na baadhi ya nchi za afrika ila TANZANIA hawataiweza daima.
 
Excellent question!
Naona watu tu wanasifu lakini what if yeye hali na wenzake jama JK what if yeye anatupia kwenyecaccount zake ulaya?masna mishahara ya watumishi hewa ba vyeti feki kila mwezi sio haba. Lakini kams hazureflect changes mtaani lazma tuhoji
 
Back
Top Bottom