Two things can be true at the same time: pro-Palestine and anti-Hamas

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,244
113,628
I woke up looking forward to football Sunday [NFL].

But then my Sunday got ruined and now I’m pissed off.

Pissed off because I’m not enjoying the slate of games that I was so looking forward to watching all day long.

Also pissed off because I finally saw the video in which a young compatriot was murdered in cold blood.

What did that young man do to deserve that?

Naunga mkono harakati za Wapalestina dhidi ya utawala wa mabavu wa Israel.

Lakini ughaidi wa Hamas, hususan dhidi ya raia wasio na hatia yoyote ile, siuungi mkono kabisa. Ninaulaani kwa nguvu zangu zote.

Baada ya kujitokeza kwa video ya mauaji ya kijana wetu huyo Kitanzania, nategemea serikali itatoa tamko kali sana la kulaani mauaji hayo.

Kinyume na hapo, itakuwa ni sawa na kuunga mkono ughaidi wa Hamas ambao umeua watoto wetu. Na hiyo haitokubalika hata kidogo.

Hamas ni lazima walaaniwe na walipe kwa walichomfanyia huyo kijana wetu.

Fcuk Hamas.
 
R I p ...........it is a shame for the whole nation to pretend we are peaceful and love each other Tanzanians while the evil spirits and the hardships of life haunt us......if you are really a lover of progress you cannot enjoy the death of our fellow Tanzanians who went to find satisfaction for their children and families where is their fault? no one has ever even caught it ak 47 .........this is a big barbarity.......from now on there is no free Palestine until the rights of our fellow patriots are found
 
They killed that boy for nothing!

I’m hurt.

They will get their befitting comeuppance, if they haven’t already.
 
View: https://twitter.com/talhagin/status/1736390651095253413

Kuna possibility kubwa wale jamaa sio Hamas, so far watu wengi ambao wapo Familiar na hayo makundi wanasema wale sio Hamas

Mfano hii Badge ya Njano aliyovaa huyo jamaa sio ya Hamas.

Kuna mambo mengi hatujayajua bado, ila ukweli utapatikana tu.

Hata kama siyo Hamas, ila ni kundi tanzu la Hamas, bado lawama zinawaendea kwao tu maana wao ndo wamehamasisha [no pun intended] hayo mauaji!
 
whilst Aljezeera continues using wounded kids and patients in hospitals as a campaign strategy to gain sympathy from world viewers, Israel should continue dropping Bombs on the heads of terrorists (and their sympathizers) all the way from Gaza to Tehran".
NETANYAU,NETANYAU,NETANYAU WHAT STOPPING YOU FROM NUKING GAZA ENTIRELY?..

The Heartless and wickedness of the Hamas terrorist is what really shock me.

How on earth do you go to hide among sick patients?
These terrorists Have no value for life of even their own people. This is satanical Satanism.
 
They outnumbered that little kid. They were armed while a boy didn't have a pebble.

My fellow little Maasai, was crying for forgiveness while being sure that he had no cause to surrender.

I'm disgusted, I'm hurt. I can feel the pains he had before his last breath. Two shots, the third, his arms waved a bye.

HAMAS must pay. They must all be knocked down. Fcuk them all and their supporters. If you (Ngabu) were supporting HAMAS, so you deserve a deep asshole finger.
 
Please spare us your homoerotic fantasies.

This is not the place for advertising your bussy services.

Go to OnlyFans if you want that.
 
Umejuaje kama ameuliwa na Hamas. Israel waliuwa raia wao zaidi ya 80 ile siku palestina wameivamia, wale raia walikuwa kwemye part. But Israel ikawashutumu Palestina ndo imewaua mpaka video za tukio zilipoanza kuvuja ndo wakakiri kwamba wao ndo wamewaua kutokana na pilot kujichanganya. Mateka wengi waliokuwa wametekwa na Palestine wameuliwa na Israel kutokana na kampeni yao ya kusafisha kizazi cha pestina kupitia mashambulizi. So usiwaamini sana hao wajinga
 
Huyu ni same pesron au photoshop
IMG_20231218_043537.jpg
 
Umejuaje kama ameuliwa na Hamas. Israel waliuwa raia wao zaidi ya 80 ile siku palestina wameivamia, wale raia walikuwa kwemye part. But Israel ikawashutumu Palestina ndo imewaua mpaka video za tukio zilipoanza kuvuja ndo wakakiri kwamba wao ndo wamewaua kutokana na pilot kujichanganya. Mateka wengi waliokuwa wametekwa na Palestine wameuliwa na Israel kutokana na kampeni yao ya kusafisha kizazi cha pestina kupitia mashambulizi. So usiwaamini sana hao wajinga
Hamas haijaua raia?
 
Comment ya hovyo kabisa hii. Nyie vijana, jaribu ni kuficha tupu za akili zenu mbele za watu. Mnajidharirisha sana.
 
Hamas haijaua raia?
Mapuuzi kama haya ndio yanasababisha chuki, kashfa na uadui dhidi ya uislam humu JF. Suala la yule kijana kwenye hizo video limeumiza sana watu. Binafsi sijalala baada ya kuona hiyo video. Ila kwa kuwa nchi yetu inajifungamanisha na waarabu pitia dini haitatoa tamko lolote. Ile ni video mbaya sana ila hawa waarabu weusi wanaoamini mwarabu akosei wakiangalia dini, wanakwaza sana.
 
Huo ni mtazamo wako..usiite wenzako wapuuzi kwakuwa wanamtazamo tofauti na wewe.otherwise sijui nikuitaje wewe.
 
Wewe sio mpuuzi, wewe ni ushuzi kabisa. Pumbavu mkubwa. Watu tumeona hizo video wakimpiga risasi kijana asiye na chochote tena aliyepiga magoti akiomba msamaha. Jamaa wanamshoot huku wakishangilia "alawakubari" alafu wewe unaleta ujuaji. Ebu jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Mnajidharirisha sana.
 
Back
Top Bottom