Kama hii ni habari ya kweli binafsi nadhani ni kitu kinachohitaji tuwe understanding. Sisi wanaume tunakubaliana mara nyingi sana na mitala: wanawake wamevumilia sana miaka mingi ku-share mume katika mtala. Hili la ku-share mke kwa uwazi sioni kama litakuwa na ubaya wowote, ingawa ni kama mageuzi katika mila na desturi za kiafrika. Lakini kwa kweli mi binafsi sioni ubaya kabisa kwa kuwa wanaume wengi sana katika jamii nyingi za binadamu huwa wana-share mwanamke na mume mwingine lakini ikiwa siri. Hawa watakuwa wameamua tiu kuwa wazi. Mh! Very interesting! --she must be very energetic and special. Well, all the best guys....