Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
Ina maana jamaa walikuwa na usongo wakafungua mlango kabla ya Waingereza wenyewe au vipi?
Hapa kuna homophobia pamoja na utamaduni wa machismo ya ajabu.Jamaa hawajaingia kwenye anga zangu na wala mimi sijaingia kwenye anga zao.Poa kivyao na mimi poa kivyangu. Hivi kama baadaye mashoga ndiyo wanakuwa majority halafu wakianza kuku discriminate wewe kwa sababu wewe ni minority (straight) utajisikiaje? Hii ni sawa na kum hate mtu kwa sababu anapenda vanilla on his ice cream na wewe unapenda chocolate, kama hajakulazimisha kula utam-mind kwa misingi gani? Kila mtu kivyake. Nchi za watu wote nyie wenye homophobia mnapewa diversity class ya mwezi mmoja kwa matamshi ya kibaguzi.
Halafu watu hao hao wanao discriminate gays kwa basis ya sexual preference wakiwa discriminated against on basis of color watajisikia vibaya? Ubaguzi, katika context hii, ni ubaguzi tu.
Hizi outrage nyingine nafikiri tunaprotest too much, which says so much about our very own insecurities with the subject.
Well said BLURAY!...Kila mtu na maisha yake sioni sababu yeyote ya mtu kusema ooh kinyaa!....kuna wengine wanajidai kinyaa na usikute ni bisexual (on the down low).....Mtu ametokea kuwa Gay unataka afanye nini ajiue/anjinyonge au umpigie risasi as long as they don't envade your privacy what do you care....kila mtu na maisha yake kwa kweli...
Hongereni saana tuu Ngengi na Chege....i wish you happy marriage....