ingekuwa mimi akili mbili ningekuwa nishakamatwa!..😂Husband ametisha.
Anayesaspectiwa ametisha zaidi.
Sio kirahisi hivyo yani useme tu kwani nakujua alafu mume akubali, atakuwa ni zwazwa.Husband ametisha.
Anayesaspectiwa ametisha zaidi.
Kama ni sampuli ya Mcpilipili hawezi kataa 🤣Sio kirahisi hivyo yani useme tu kwani nakujua alafu mume akubali, atakuwa ni zwazwa.
Kwanin Mc pilopilo?Kama ni sampuli ya Mcpilipili hawezi kataa 🤣