Twitter yazuia akaunti ya kampeni ya Donald Trump kwa kuposti taarifa potoshi kuhusu COVID-19

Cha ajabu ni kwamba,alichokisema wala sio uongo ni kitu ambacho ni fact hata dactari wa mwaka wa kwanza chuo anajua watoto wako na lower risk ya maambukizi b'se bado wanadevelop kinga ya mwili.Tatizo alichosema Trump haki fit kwenye narrative zao maliberali..
Let's assume kwamba alichosema ni chaka, Je wao wamekuwa polisi wa mitandaoni kuwapangia watu waandike nini na wasome nini? No wonder kizazi cha social media kimejaa cry babies.

Social media majukwaa ya watu kubadilishana taarifa na mawazo. Sio kazi yao kudanya upolisi mitandaoni.

BTW kuna madaktari walikuwa na kikao Washington wakaja na Azimio kuwa dawa ya Covid ipo. Wameifuta hiyo video kila mahali. Hii inapiga kelele huu ya agenda waliyo nayo hawa watu. Deeper and far reaching conspiracy
 
Twitter wanafanya censorship sana kwenye conservative ideas,washalaumiwa sana ila bado hawajakoma,leo mtu akipost utoaji mimba ni mauaji wanasema ni hate speech wanaifungia..
Hii issue ya Covid-19 kule USA kuna kitu behind it ambacho hakiko sawa,wala watu hawajisumbui kufikiria,mainshream media false narrative zimewaharibu sana..
 
Let's assume kwamba alichosema ni chaka, Je wao wamekuwa polisi wa mitandaoni kuwapangia watu waandike nini na wasome nini? No wonder kizazi cha social media kimejaa cry babies.

Social media majukwaa ya watu kubadilishana taarifa na mawazo. Sio kazi yao kudanya upolisi mitandaoni.

BTW kuna madaktari walikuwa na kikao Washington wakaja na Azimio kuwa dawa ya Covid ipo. Wameifuta hiyo video kila mahali. Hii inapiga kelele huu ya agenda waliyo nayo hawa watu. Deeper and far reaching conspiracy
Niliiona ile video,daktari fulani ana asili ya ki nigeria hivi...Tena dawa yenyewe ni Hydroxychloroquine,zinc n.k na inauzwa chini ya 50$,.Big pharma companies wametengeneza dawa zao uchwara wanacharge kila patient 2,500$ hadi 3,000$ ha akiwa na bima.Bado watu hawaponi wanazidi kufa na wao wanaendelea kuuza ventilators na dawa zao feki.Trump kashashtukia mchezo mapema tu,sema hakuna anayemskiliza tena,Dr Fausi nae ashapoteza credibility,haeleweki tena.
 
Mtazamo wako uko vzr sana
Nani ni mtaalamu,Bill gates?..Hivi nani asiyejua kwamba watoto wana risk ndogo sana ya kuugua ugonjwa wa Corona?.Tanzania ni watoto wangapi wameugua Corona,unafkiri hakuna walioupata igonjwa?.Hiyo ni fact kwamba kinga za watoto zipo strong kuliko za watu wazima na wazee na ndio maana huu ugonjwa unapiga zaidi wazee na watu wenye complications.

Kwa hili Trump yupo sahihi 90%,Issue ya Hydrochloride pia yupo sahihi 90%,.Tatizo pale marekani makampuni ya madawa yana loby makundi fulani ya vyombo vya habari,wabunge na magavana ili kufaidika na huu ugonjwa.Sasa hivi kama unafuatilia wana mu attack Trump kwa sababu tu amewalazimisha washushe bei ya dawa kwa 50%.

Trump ana mapungufu yake mengi tu,ila kuna vitu vingine jaribu kutuliza jazba utafute uhalisia wake...
BTW Trump ana access ya classified info kuhusu kitu chochote kuliko mimi na wewe,so akiongea kitu usichukulie powa tu,there is something behind it,..
 
Mimi naona anajua anachokilenga.
Kusema kuhusu watoto wana kinga dhidi ya Covid 19 ni kwasababu alitaka shule zifunguliwe na pia lilipokuja suala la uchaguzi akataka lisogezwe mbele kwa sababu ya Covid 19.
Watu wakahoji kwanini anataka shule zifunguliwe na uchaguzi usogezwe mbele ina maana anataka watoto wetu wakafe? "Nahisi" ndio maana akaja na mbinu hiyo.

Sina uhakika lakini.
Unawaza kwa niaba ya Trump! Duu umetisha.
 
Back
Top Bottom