twins with different fathers

Kama ni mwisho wa duinia basi ulishaanza siku nyingi: Kuna kesi iliwahi kutokea huko Marekani miaka mingi - 40s or 50s... wazazi wote wazungu. Mama akazaa mtoto mweusi! Baba akatahamaki na kuanza kumshutumu mkewe kwa kukosa uaminifu.... mama hakuwa ame cheat hata kidogo..na yeye ilitokea kama muujiza kwake..... kumbe mumewe kabla ya kukutana naye, alikuwa amepitia kwenye danguro.Akatembea na mwanamke mweusi, ambaye naye alikuwa amemhudumia mteja mweusi. Mzungu alipotoka huko, hakuwa ameoga, akalala na mkewe! Kumbe bwana yule aliondoka na xxxx ya mweusi yule akaja kuitransmit kwa mkewe! Hii ni kesi ya kweli kabisa na ilileta mtafaruku.Fikirieni yule mama alipata mfadhaiko na mateso ya moyo kiasi gani??
In short wonders will never cease in this world na haimaanishi ni mwisho wa dunia.

...:eek: mungu wangu! ..."mwiko" bila kukoshwa unaondoka na makoko na makapi mengi eeh!?
 
Back
Top Bottom