twins with different fathers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

twins with different fathers

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, May 18, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [​IMG] Mia with Jordan Washington

  [​IMG] Mia with Justin Washington Photo: SPLASH N EWS

  Miss Washington admitted she was having an affair when she conceived, when two eggs were fertilised by the sperm of two men.
  "I have twins, but they're by different fathers," said Miss Washington told Fox News.

  Miss Washington and her partner James Harrison took DNA tests after noticing twins 11-month-old Justin and Jordan, had different facial features.
  "Out of all people in America and of all people in the world, it had to happen to me. I'm very shocked," Miss Washington said.

  According to the paternity test, there's a 99.999 percent chance Justin and Jordan do not have the same father, and zero percent chance they do. The lab claims it has never seen this type of result, nor do they expect to see it again.

  "It is very crazy. Most people don't believe it can happen, but it can," said Clear Diagnostics President Genny Thibodeaux.
  Only a handful of cases - of what doctors call heteropaternal superfecundation - are documented in the world.

  Dr Chris Dreiling said the conception can happen when a woman releases multiple eggs during ovulation. If she has more than one sexual partner within the same time period, sperm cells can fertilize two separate eggs.
  "This is likely to be the only time that we will ever see this occur in the city of Dallas; it's that rare," said Dr Dreiling.

  The twins' father said he's forgiven his fiancé's infidelity and has vowed to stay with her and raise both boys as his own.
  "It's a day by day thing. It's going to take time to build that trust like we had," said Mr Harrison.

  Miss Washington, from Dallas, Texas, said she plans to tell the boys about their DNA differences when they're old enough to understand. But she says she has no plans to tell the other father.

  source; Women gives birth to twins with different fathers - Telegraph
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...yaani hapa nilipo nimechoooooooka kabisa,....conception ya twins with two different fathers means aliwa-do wote wawili siku hiyo hiyo, au?

  Kibarua kipo sasa kwa wale twins wote wasiofanana! :D
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  What a f**k!!!!!
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Na ilitakiwa wasiwe wamepishana dk 127, maana baada ya hapo isingewezekana, lazima hiyo ilikuwa ni group sex tu..hawa wamarekani balaaa
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...exactly!, habari ndio hiyo! :(

  una twins 'wasiofanana -fanana?' ...nitakupatia ushauri nasaha!
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wakuu hii kitu hapa Bongo imetokea.
  Kuna jamaa tulikuwa tunaishi nae mtaa mmoja Kimara akaenda kufanya kazi Igurusi kule alipata binti wa kibantu akamwoa binti alipata mimba alizaa mapacha mtoto mmoja kafanana na jamaa na mwingine kazaliwa Mburushi kabisa si mnajua kule Igurusi waburushi kibao. Ilikuwa balaa
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna nyingine nilishasikia kuwa Baba na Mama ni weupe na wakazaliwa watoto mapacha. Mmoja mweusi na mwingine mweupe. Ila ikaja julikana kuwa watoto hao walizaliwa kwa kuweka mbegu za kiume hospital. Sasa mama alitumia kifaa hicho hicho bila kukisafisha na kabla ya hapo, alikuwa katumia kupandisha mbegu za kiume na mtu mweusi na akaenda kuchukua za yule baba Mzungu na kumuwekea mke wake. Sasa mabaki ya mbegu za mtu mweusi zikatengeneza kitoto cheusi na ile ya mweupe zikatengeneza mtoto mweupe. Hivyo katoto keusi kakawa kameingia kwenye mji bila kutegemea......
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Hili linawezekana Mbu, si inajua tena mambo ya siku hizi ya 3 somes na hata zaidi. Nadhani wanasayansi watataka kulichunguza zaidi hili ili kulifahamu kwa karibu kama huyo binti atakuwa tayari kutoa ushirikiano katika uchunguzi huo. Kuna mambo mengi yanayotokea katika mwili wa binadamu yamewaacha hoi wataalamu na kubaki wakikuna vichwa vyao. lakini hii inaelekea haikuwa 3 somes bali libido la binti siku hiyo lilikuwa kali sana :)

  "It is very crazy. Most people don't believe it can happen, but it can," said Clear Diagnostics President Genny Thibodeaux.
  Only a handful of cases - of what doctors call heteropaternal superfecundation - are documented in the world.

  Dr Chris Dreiling said the conception can happen when a woman releases multiple eggs during ovulation. If she has more than one sexual partner within the same time period, sperm cells can fertilize two separate eggs.
  "This is likely to be the only time that we will ever see this occur in the city of Dallas; it's that rare," said Dr Dreiling.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Kama kumbukumbu zangu ni nzuri hii ilitokea Ufaransa au Uholanzi ngoja.
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Slut!
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,587
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  NOOO :) A woman whose libido was very high on that specific day :) and was not satisfied by her lover, boyfriend or husband. Ha ha ha political correct language.
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Uholanzi. Nafikiri kuna video kwenye ABC au NBC www.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mfume dume. Kule ma-gay wakizifuja nafsi zao mnawatetea kwa nguvu zote , ila huyu mdada akijinafasi ktk most natural way anaitwa sloti ya CPU ..lol
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Heri awe Slot ya CPU maana walau anachagua Intel au AMD na bado atataka uwe katika size yake maana si kila Slot inakubali kuingiza CPU.

  Kibaya kama angeliitwa USB.......
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  USB ni wale ma-gay..wengi wao walipuka bange na ni crack heads. Wale ndo hawachagui ..lol
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ina maana jamaa alimaanisha kuwa mama anaruhusu INTEL DUO CPU .. :)?

  Daaa, kweli hii nilikuwa sijaisikia. Sawa nimeongeza msamiati mpya.
   
 17. u

  urassa Member

  #17
  May 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo kazi kwelikweli lazima ilikuwa mande
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Makubwa haya jamani. Dunia kwisha!!! Sayansi tupu hapo. Na huyo Bwana ana huruma sana, yaani anajua kabisa alikuwa ana date mwanamke asiye mwaminifu halafu anakubali kuishi naye. Sifanyi hicho kitu.

  Halafu mama anasema kuwa watoto wakikua atawambia kuwa not of the same biological father na hatamtaja the second father, Hiyo ni denial ya rights for the other son!!! Hapo watu wa Human rights mnalongaje???!!
   
 19. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii kwakweli ndio naisikia leo. Nimeishiwa maneno!!!
   
 20. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kama ni mwisho wa duinia basi ulishaanza siku nyingi: Kuna kesi iliwahi kutokea huko Marekani miaka mingi - 40s or 50s... wazazi wote wazungu. Mama akazaa mtoto mweusi! Baba akatahamaki na kuanza kumshutumu mkewe kwa kukosa uaminifu.... mama hakuwa ame cheat hata kidogo..na yeye ilitokea kama muujiza kwake..... kumbe mumewe kabla ya kukutana naye, alikuwa amepitia kwenye danguro.Akatembea na mwanamke mweusi, ambaye naye alikuwa amemhudumia mteja mweusi. Mzungu alipotoka huko, hakuwa ameoga, akalala na mkewe! Kumbe bwana yule aliondoka na xxxx ya mweusi yule akaja kuitransmit kwa mkewe! Hii ni kesi ya kweli kabisa na ilileta mtafaruku.Fikirieni yule mama alipata mfadhaiko na mateso ya moyo kiasi gani??
  In short wonders will never cease in this world na haimaanishi ni mwisho wa dunia.
   
Loading...