Sasa unaishije Mamndenyi wangu??? Najue kule hupati huduma. Hivi yule binti wa yule mwizi wetu unamsaidia??? Najua mtu atakuja piga goti. Chezea nyumba kubwa wewe.
Haina haja ya kupima kama unatumia Zuma's law of HIV- uninfections!
Which states that, rinse off with warm water and medicated soap shortly after NANIHINOO!
jaman kama wewe ni mdau wa KUNYETUKA, haina haja ya kupima HIV;
maana naona kuna wadau wa NYETO hapa nao wanajitia jambajamba ya kwenda kutest
mtapoteza mda wenu bure....
hii inatuhusu sisi CHOVYACHOVYA!
Nimeshapima HIV zidi ya mara tano, licha ya majibu kuwa mazuri mara zote lakini sijawahi kuzoea upokeaji wa majibu kutoka kwa Dr. Na kuna kipindi unajilaumu hivi kwa nini nilikuja kupima, hapo ni wakati unasubiria majibu.