We una diss mi nakiss
Fake mc's wana siz
Kitaa kuna wizi mamwera kama pussy
Hizi verse si kama ndizi
Kuchana ni yangu kazi
Aihitaji karatasi nachana kama mkasi
Unaiweza kasi au tatoka kamasi?
Lugha yangu mi hasi unahitaji kamusi na wala haina tusi
Verse tamu kama nanasi kuelewe hitaji nafasi
Ogopa hii nafsi au shushia na pepsi
Mi si mjusi nan'gata kama fisi
Natumia nafasi Mola nipe ukwesi
Tshrt na jeans ndio yangu mavazi
Fake mc's wana siz
Kitaa kuna wizi mamwera kama pussy
Hizi verse si kama ndizi
Kuchana ni yangu kazi
Aihitaji karatasi nachana kama mkasi
Unaiweza kasi au tatoka kamasi?
Lugha yangu mi hasi unahitaji kamusi na wala haina tusi
Verse tamu kama nanasi kuelewe hitaji nafasi
Ogopa hii nafsi au shushia na pepsi
Mi si mjusi nan'gata kama fisi
Natumia nafasi Mola nipe ukwesi
Tshrt na jeans ndio yangu mavazi