Twende NGORONGORO CRATER 27/12/2016

Twende NGORONGORO CRATER 27/12/2016

Conrad84

Senior Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
104
Reaction score
43
Tusafiri Pamoja kutembelea hifadhi ya taifa ya #ngorongoro_crater tarehe 27/12/2016 na kurudi tarehe 29/12/2016 kwa gharama ya 190,000 tu. Mwisho wa kufanya booking ni tarehe 20/12/2016. Safari ita anzia ubungo, Dar es salaaam

Lets travel to #ngorongoro_crater for only 190,000/Person, Call us today for booking.

T1:0672514440
T2:0763553888
E-mail: safaripamoja@gmail.com
Facebok.com @Safaripamojatours
Instagram @Safaripamoja
1475953839578.jpg
 
Tunatumia usafiri gani kwenda huko? Ndege au gari? Je masuala ya chakula na malazi inakuwaje?
 
Dah.. safi sana....wakifika kule chips yai sahani unawapiga elfu 80 na malazi laki unusu tena kwenye gari
 
Usafiri ni coaster na gharama hiyo imejumuhisha nauli ya kwenda na kurudi, kiingilio cha mbugani, lodge na gharama ya mwongozaji (guide) karibuni kufanya booking.
Chakula??? Mbona umekisahau kwenye jibu lako la msingi
 
Tusafiri Pamoja kutembelea hifadhi ya taifa ya #ngorongoro_crater tarehe 27/12/2016 na kurudi tarehe 29/12/2016 kwa gharama ya 190,000 tu. Mwisho wa kufanya booking ni tarehe 20/12/2016. Safari ita anzia ubungo, Dar es salaaam

Lets travel to #ngorongoro_crater for only 190,000/Person, Call us today for booking.

T1:0672514440
T2:0763553888
E-mail: safaripamoja@gmail.com
Facebok.com @Safaripamojatours
Instagram @Safaripamoja
View attachment 414722
Mkuu, hebu weka vizuri hizo pesa zinagharimia vitu gani
 
Naona kapotezea kiaina anashindwa kuuweka huo mchanganuo. Tumsuburi labda atafunguka
Samahanini siwezi kujibu maswali yasiyo na tija. Unauliza mbona bei chee, unategemea ujibiwaje? Au mbona chakula umesahau! Sasa kwanini sija sahau nlivyoviweka ukiona hakijawekwa means hakipo kwenye huduma. By the way tuna nafasi 8 tu.
 
Back
Top Bottom