TWENDE NA LISU 2020 HATUNA CHA KUPOTEZA

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Wanabodi 2020 twendeni na TL hao wengine wote lao moja tuangalie mtu anayeweza leta ufumbuzi wa matatizo ya nchi maana kunamikataba ya hovyo iliyo sainiwa na zao la CCM leo hii inatughalimu kama nchi nawasihi Chadema msimamisheni TL ili atuletee utawala bora unaofwata sheria ova.
 
kwa katiba ipi?tusidanganyane uponzan kuingia ikulu kiwepes hv aisee
 
Ni kweli TL anafaa lakini sio kwa katiba hii. Jiwe atamaliza mtu
 
Wewe ndiye utayemtangaza kuwa mshindi??
 
Si Arudi Tz Kutathminiwa Kama Ataweza? 2020 Si Mbali
 
Kuna kazi Lisu anaweza kulisaidia taifa hili kama Uspika, Jaji mkuu au mwanasheria mkuu au hata uwaziri was sheria lakini sio urais. Tatizo ni kwamba akipewa atafanya hila ili kuiharibia serikali kwakuwa vyama vyetu haviko kizalendo Bali kuangushana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…