Tweet ya Mwamvita Makamba akimshambulia Kigwangalla: Vita ya Urais yapamba moto CCM Vijana

'You are it', frankly speaking nimeijua leo maana yake !

Ila kutafsiri 'huyu msichana anajiona'...naomba msaada.
 
kimombo kibovu kabisa na hakina maana huyu mwavita makamba ndo alikuwa barmaid wa lodge yao pale nanenane usambara lodge kisha ajiweka.meneja kisha mzee yusufu kamfukuza au mwingine?

Umenchekesha sana,
 
Sikutegemea Mwamvita kwa status yake huo mkorogo wa lugha umefikiwa kwa ushirika wa ubongo na mikono yake na utashi wa kupost hivo
 
Pamoja na udakitari, anaandika kama pupils wa siku hizi! Vifupi visivyo rasmi vya nini?

Nadhani inakubalika mkuu... mi nilifundishwa hivyo pia kwenye communication skills na Dr. Neke (RIP).. Japo vifupisho vingine ni vya kijinga sasa- xaxa
 
Sikutegemea Mwamvita kwa status yake huo mkorogo wa lugha umefikiwa kwa ushirika wa ubongo na mikono yake na utashi wa kupost hivo

Mwamvita ana status gani?

Noblesse Oblige is an ideal, not a law of physics.
 
Sasa na hao watu wenu mnaotupigia kelele mna imani kuwa wanaweza kuupata Urais wa nchii hii?
 

Kigwangala Hana uwezo wowote wala Hana uzalendo wowote.
 

https://answers.yahoo.com/question/index?qid=20090616190224AAgs3XD

Kha! You lift arbitrary stuff off of yahoo answers, and elsewhere online, and claim it supports Makamba homemade English! I am not the least convinced dude! This is akin to trying to fit a square peg in a round hole. It just wont work! Matter of fact, I would even go further and accuse you of plagiarization. Shame on you!
 
Tunatafuta urais ki hip hop, tafuta ugomvi( bifu) hata kama haupo. Itauza tu watu watakujua tu hata usiowalenga wakufahamu.
 

Kwanza jaribu kusoma vizuri Wakuu wengine walivyoelewesha kuhusu lugha yake.

Pili, unafahamu jinsi mtandao unavyofanya kazi? Jaribu kuandika jina lako katika Google engine. Je, ulitumia hizo websites zote zinazoonyesha jina lako?

Internet ina matawi mingi katika search engine na hilo jibu la yahoo answers vile vile limekumbwa kwenye website nyingine kuonyesha jibu hilo hilo katika site tofauti. Sikatai linaweza kuwa limetoka hapo, lakini mimi nimelikuta kwengine na nimeweka source. Plagiarism huweki source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…