funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,119
- 31,639
Ndio maana anafuatiliwa ...akiwa clear ataendelea na maisha.URAIA WAKE UNATIA MASHAKA
Ndio maana anafuatiliwa ...akiwa clear ataendelea na maisha.URAIA WAKE UNATIA MASHAKA
Mpaka wakati huu uraia wake ulikuwa bado haujatiliwa mashaka na mamlaka husika
Hiyo comment nlitoaga Muda sana naona utabiri wangu umetiaNdio maana anafuatiliwa ...akiwa clear ataendelea na maisha.
Sasa kuna watu wanashangaa hii leoHiyo comment nlitoaga Muda sana naona utabiri wangu umetia
Ova
Mamlaka husika za kipindi kile ni tofauti na awamu hiiMpaka wakati huu uraia wake ulikuwa bado haujatiliwa mashaka na mamlaka husika
Basi wengi watanaswa wakiwemo high profile figures.. Au kutakuwa na kubagua? Yure mupe yure muruke?Mamlaka husika za kipindi kile ni tofauti na awamu hii
Atakayejipendekeza kwenye kumkwamisha mzalendo na mpigania wanyonge lazima anyooshwe kwani huu si wakati wa kukwamisha maendeleo kwa interest binafsi au za mafisadi au wakoloni mamboleo.Basi wengi watanaswa wakiwemo high profile figures.. Au kutakuwa na kubagua? Yure mupe yure muruke?
Ni uonevu unaobidi ukemewe kwa nguvu zote....Atakayejipendekeza kwenye kumkwamisha mzalendo na mpigania wanyonge lazima anyooshwe kwani huu si wakati wa kukwamisha maendeleo kwa interest binafsi au za mafisadi au wakoloni mamboleo.
Ni somo ambalo inabidi lieleweke !
Ukingia kwenye 18 zao hapo ndipo utakutana na mupe muruke mzee babaBasi wengi watanaswa wakiwemo high profile figures.. Au kutakuwa na kubagua? Yure mupe yure muruke?
Mafisadi walionea wananchi kwa muda mrefu sasa ni zamu yao...na watetezi au wanufaika waoNi uonevu unaobidi ukemewe kwa nguvu zote....
Hivi piki ni Tz ama ni Ke, ili nijiandae kurudishwa kwetu.Ukingia kwenye 18 zao hapo ndipo utakutana na mupe muruke mzee baba
Ova
Kinyonga ana rangi nyingiMafisadi walionea wananchi kwa muda mrefu sasa ni zamu yao...na watetezi au wanufaika wao
Kama unatokea mipakani ukiwazingua wanakuzinguaHivi piki ni Tz ama ni Ke, ili nijiandae kurudishwa kwetu.
Mh Mtaka, vipi leo tena mwenzako anaambiwa kuna walakini katika uraia wake?Wooh,
I know Idan Eyekuze, mtaalamu wa scenario huyu, moja ya vijana weledi niliobahatika kukutana nao KATIKA wasilisho Mbalimbali.
Mungu akupe HEKIMA.
BIG UP BROTHER.
Teknolojia ngumu hii 🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️Mh Mtaka, vipi leo tena mwenzako anaambia kuna walakini uraia wake?
Hilo jina lake sio la watanzaniaWooh,
I know Idan Eyekuze, mtaalamu wa scenario huyu, moja ya vijana weledi niliobahatika kukutana nao KATIKA wasilisho Mbalimbali.
Mungu akupe HEKIMA.
BIG UP BROTHER.
Eyakuze ni mhamiaji haramu East African Community hilo jina ni la kinigeriaRwanda hatuna majina hayo tafadhali labda jaribuni Burundi, Somalia, Syria na Afghanistan.
Mkuu hili jambo uliliona mapema sana.URAIA WAKE UNATIA MASHAKA
Nlijua tu si unajua darubini kaliMkuu hili jambo uliliona mapema sana.
Uliiona siku nyiiingi!Hongera sana Aidan, ila usitumike kumpigia kampeni Lowassa km alivokuwa akifanya Rakesh Rajan